Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hadi sasa nazipenda na bado huwa naziangalia mara moja moja though mambo ya kukodoa macho kusoma subtitles ndiyo yananikera na sina jinsi ya kukwepa!!
Kweli ile inakera na inabidi uwe sharp na intelligent pia hahaaaaa
 
Kweli ile inakera na inabidi uwe sharp na intelligent pia hahaaaaa
Na mbaya zaidi kwangu, kwenye movie au series napenda sana kufuatilia stori!!! Sasa hii habari ya subtitle inakuwezesha tu kufuatilia stori huku baadhi ya matukio yakikupita japo kwa sekunde mbili tatu wakati una-digest subtitles!!
 
Mimi huwa naweza kuunganisha vyote kwa mpigo...subtitles na matukio [emoji41]
 
Series mpya...Innocent man..The defendant.. Man2man..Glass mask...Eye to Eye..Legend fragrance...tafuteni hzo
 
Series mpya...Innocent man..The defendant.. Man2man..Glass mask...Eye to Eye..Legend fragrance...tafuteni hzo
Defendant ishamalizwa last month. Niko na Rebel A thief who stole people's hearts. Kati ya hizo umesema ipi ni kali level ya defendant ama kama ni kijijini itafikia level za Six Flying dragons ama Jackpot ama The Flower in Prison ??
 
omo omo omo yaani team jang hyuk kumbe wapo wengi, basi nimeamua niwaunganishe na washabiki wenzenu wa jang hyuk duniani kote.kupitia fans thread hii utapata taarifa zote zinazomuhusu jang hyuk.
Jang Hyuk 장혁

pia hii ni zawadi kwa Khantwe najua miaka hii miwili itakuwa ni migumu kwake ila nimeamua nimkutanishe na washabiki wenziwe wa lee min ho ili wapate kuliwazana,pindi utakapojisikia jamiiforums imekuchosha usikose kutembelea fans thread ya lee min ho.
Lee Min Ho [emoji813] 이민호 [emoji813] ィミンホ [emoji813] 李敏鎬

niliwahi kusoma comment ya member anayeitwa princess ariana ambapo alisema yeye ni mpenzi mkubwa sana wa lee byung hun,pia nimeona nimuwekee link ya fans thread ya lee byung hyun,naamini itamsaidia kupata taarifa za kila siku zinazomhusu lee byung hyun pindi jamiiforums itakapokuwa imemchosha.
Lee Byung Hun 이병헌 Byunghun Lee

bado naamini pia bado Nifah ni mpenzi mkubwa sana wa song il kook,pindi utakapojisikia kuchoka kutembelea jamiiforums basi jaribu fans thread hii ya song il kook,utakutana na member ambao ni team song il kook kama yvonne allen.
Song Il Kook 송일국

kwa wale wapenzi wa song joong ki jaribu kutembelea fans thread hii
☆ Song Joong Ki ☆ 송중기
kama unatumia computer itakuwa vizuri zaidi kwa sababu itakuwa rahisi zaidi kuchagua page unayoitaka (next page)
[HASHTAG]#annyeong_goodbye[/HASHTAG]
wow!!! shukrani sana tena sana.

naomba uniunganishe na team Jung suk (wa kwenye Love Rain sina hakika kama jina lake nimeandika vema)
 
omo omo omo yaani team jang hyuk kumbe wapo wengi, basi nimeamua niwaunganishe na washabiki wenzenu wa jang hyuk duniani kote.kupitia fans thread hii utapata taarifa zote zinazomuhusu jang hyuk.
Jang Hyuk 장혁

pia hii ni zawadi kwa Khantwe najua miaka hii miwili itakuwa ni migumu kwake ila nimeamua nimkutanishe na washabiki wenziwe wa lee min ho ili wapate kuliwazana,pindi utakapojisikia jamiiforums imekuchosha usikose kutembelea fans thread ya lee min ho.
Lee Min Ho [emoji813] 이민호 [emoji813] ィミンホ [emoji813] 李敏鎬

niliwahi kusoma comment ya member anayeitwa princess ariana ambapo alisema yeye ni mpenzi mkubwa sana wa lee byung hun,pia nimeona nimuwekee link ya fans thread ya lee byung hyun,naamini itamsaidia kupata taarifa za kila siku zinazomhusu lee byung hyun pindi jamiiforums itakapokuwa imemchosha.
Lee Byung Hun 이병헌 Byunghun Lee

bado naamini pia bado Nifah ni mpenzi mkubwa sana wa song il kook,pindi utakapojisikia kuchoka kutembelea jamiiforums basi jaribu fans thread hii ya song il kook,utakutana na member ambao ni team song il kook kama yvonne allen.
Song Il Kook 송일국

kwa wale wapenzi wa song joong ki jaribu kutembelea fans thread hii
☆ Song Joong Ki ☆ 송중기
kama unatumia computer itakuwa vizuri zaidi kwa sababu itakuwa rahisi zaidi kuchagua page unayoitaka (next page)
[HASHTAG]#annyeong_goodbye[/HASHTAG]
Asante sana daah miaka miwili itaisha kweli?
 
안녕핫심니카? 올만니다. Nawasalimu wote wana jf wapenzi na wadau wa korean drama. Hivi team song il gook 송일국 na team choi soo jong 최소종 mpooo??
 
korean drama phrase words

Unni / 언니: what a female calls an older female
Oppa /오빠: what a female calls an older male
Noona / 누나: what a male calls an older female
Hyung / 형: what a male calls an older male
Ga-ji-ma / 가지마: don’t go=usiondoke
Sa-rang-hae / 사랑해: I love you
Yak-sohk-hae / 약속해: Promise me =unaniahidi
tumblr_op9zw7WYYY1w998mpo1_500.gif

Jo-ah-hae / 좋아해: I like you
Bae-go-pah? / 배고파? : Are you hungry?=unahisi njaa?
Heng-bok-hae / 행복해: I’m happy
Bo-go-ship-puh / 보고싶어 : I miss you
Jal-ja / 잘자 : Sleep well=
Geok-jung-ha-ji-ma / 걱정하지마 : Don’t worry
Gwen-cha-na? / 괜찮아? : Are you ok?

Nam-ja-chin-goo / 남자친구 : boyfriend=rafiki wa kiume
Yu-jah-chin-goo / 여자친구 : girlfriend=rafiki wa kike
Wae-geu-rae? / 왜그래 : What’s wrong?= una matatizo gani
Kyul-hon-hae-jo / 결혼해줘 : will you marry me?
a69be615672edc59d145c8270a1085f3fb835c65_hq.gif

Mi-ahn-hae / 미안해 : I’m sorry+samahani
Jae-bal / 제발 : please=tafadhali
michesseo? = are you crazy?=umechanganyikiwa
Jinja? = really?
[HASHTAG]#goodbye[/HASHTAG]
Daaa ,siku nyingi sijaangalia hizi muvi ,umenkumbusha mbali ngoja nifany hima , nianze tena kuziangalia, nimewamis sana hawa jamaa…!!
 
Back
Top Bottom