omo omo omo yaani team jang hyuk kumbe wapo wengi, basi nimeamua niwaunganishe na washabiki wenzenu wa jang hyuk duniani kote.kupitia fans thread hii utapata taarifa zote zinazomuhusu jang hyuk.
Jang Hyuk 장혁
pia hii ni zawadi kwa
Khantwe najua miaka hii miwili itakuwa ni migumu kwake ila nimeamua nimkutanishe na washabiki wenziwe wa lee min ho ili wapate kuliwazana,pindi utakapojisikia jamiiforums imekuchosha usikose kutembelea fans thread ya lee min ho.
Lee Min Ho [emoji813] 이민호 [emoji813] ィミンホ [emoji813] 李敏鎬
niliwahi kusoma comment ya member anayeitwa
princess ariana ambapo alisema yeye ni mpenzi mkubwa sana wa lee byung hun,pia nimeona nimuwekee link ya fans thread ya lee byung hyun,naamini itamsaidia kupata taarifa za kila siku zinazomhusu lee byung hyun pindi jamiiforums itakapokuwa imemchosha.
Lee Byung Hun 이병헌 Byunghun Lee
bado naamini pia bado
Nifah ni mpenzi mkubwa sana wa song il kook,pindi utakapojisikia kuchoka kutembelea jamiiforums basi jaribu fans thread hii ya song il kook,utakutana na member ambao ni team song il kook kama yvonne allen.
Song Il Kook 송일국
kwa wale wapenzi wa song joong ki jaribu kutembelea fans thread hii
☆ Song Joong Ki ☆ 송중기
kama unatumia computer itakuwa vizuri zaidi kwa sababu itakuwa rahisi zaidi kuchagua page unayoitaka (next page)
[HASHTAG]#annyeong_goodbye[/HASHTAG]