Na wewe isogelee utazame tamu sana hii variety show japo inakuwaga na heartbreaks kadhaa [emoji38]Kaangalie tuchambue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kuna watu mnajua uchokozi kwa tusiofatilia ongoing hamu imeisha
Na wewe isogelee utazame tamu sana hii variety show japo inakuwaga na heartbreaks kadhaa [emoji38]
Bila kusahau January hii kuna drama mpya almost 10 lazima tuzipitie tunaanza na Marry My Husband leo
Wengine tuligusa almost zote za mwaka jana mfano mimi nilicheki kama 35 hiviDrama zilizotazama 2023
The Devil Judge
Adamas
Boar Hunter
The river where moon rises
The Great merchant
The Merchant Gaekju
Goryeo Khitan war ( nipo episode 3)
talnam wameshakusogezea huko dramanice.
Sema mi nilishaipakua telegram bila subtitles nikadownload subtitles za kuattach.
Kaangalie tuje tuchambueView attachment 2859308
Kaangalie tuchambue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kuna watu mnajua uchokozi kwa tusiofatilia ongoing hamu imeisha
Na wewe isogelee utazame tamu sana hii variety show japo inakuwaga na heartbreaks kadhaa [emoji38]
Bila kusahau January hii kuna drama mpya almost 10 lazima tuzipitie tunaanza na Marry My Husband leo
Telegram nimepata kwa mb 456 quality nzuri kabisaNimeingia dramanice nimeiona
Natafuta pumzi za kuishusha maana nahitaji gb kama 3
Ila ep 1 viu zishafika ngapi?
Ni episode moja tu kwa wiki kila IjumaaNimeingia dramanice nimeiona
Natafuta pumzi za kuishusha maana nahitaji gb kama 3
Ila ep 1 viu zishafika ngapi?
Telegram nimepata kwa mb 456 quality nzuri kabisa
Ni episode moja tu kwa wiki kila Ijumaa
Halafu mbona hawafanani hata kidogoHapa nimekuja kujua huyu mwanamama wa under the queens umbrella na wa coach wa 25 21 ni watu wawil tofaut
Nilikua nadhan amefanya surgery[emoji16][emoji16]
Hii "Goryeo-Khitan war" nimeaianza leo jioni baada ya kuona recommendation kutoka kwa DAEMUSIN, nipo episode ya tatu so far naiona ni nzuri.Drama zilizotazama 2023
The Devil Judge
Adamas
Boar Hunter
The river where moon rises
The Great merchant
The Merchant Gaekju
Goryeo Khitan war ( nipo episode 3)
Hivi na mimi nitakuja kufika huku kwenye kufuatilia Drama awards? Kumbe bado nipo mbali sana kwenye hii tasnia,Nilikuwa napenda sana kusikiliza ile OST ya My Dearest Painted In The Moonlight ya Miyeon,kuna ile akiiperform kwenye MBC Drama Awards juzi nimefall nayo zaidi
Aliigiza vyema sana kama Goong Book kwenye Emperor of the seaKBS DRAMA AWARDS 2023Usiku wa leo kwa saa za korea Legendary Choi Soo Jong ameshinda tuzo ya daesang (grand prize) kwa mwaka 2023, hii itakuwa ni mara ya nne kushinda tuzo hiyo.
The Legend of Ambition - 1998
Taejo Wang Geon - 2001,
Dae Jo yeong -2007.
Choi ameshinda tuzo hiyo baada ya miaka 16 kupita tokea abebe tuzo kama hiyo kupitia tamthilia ya DAE JO YOUNG.
Choi ameshinda tuzo hiyo kwa mwaka 2023 kupitia drama inayoitwa GORYEO- KHITAN WAR inayoendelea kuonyeshwa kila jumamosi na jumapili ambapo ameigiza uhusika wa General Gang Gam Chan.
licha ya kuwa wanaume, choi soo jong na Kim Dong-jun (ameigiza uhusika wa mfalme )wameshinda tuzo ya best couple
Muandishi Lee Jung Woo (ameandika goryeo khitan war) amebeba tuzo ya muandishi bora, mwaka jana aliandika Taejo Lee Bang won drama
hongera kwa washindi
hongera ahjussi choi
View attachment 2858908
Hivi na mimi nitakuja kufika huku kwenye kufuatilia Drama awards? Kumbe bado nipo mbali sana kwenye hii tasnia,
[emoji38]Kawaida,ambacho sifuatilii kuhusu Korea ni politics tu[emoji23]Hivi na mimi nitakuja kufika huku kwenye kufuatilia Drama awards? Kumbe bado nipo mbali sana kwenye hii tasnia,