Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wale wenzangu wapenzi wa taste a.k.a wapenda drama kali za kusisimua zenye story za kiwango cha standard gauge kuna drama mpya inaitwa "my happy ending" ifuatilieni hii drama hautajuta kabisa inamuhusu mdada ambaye amefanikiwa kwenye biashara anayoifanya na ni CEO wa kampuni.

Huyu mdada anakutana na visanga vingi kwenye maisha yake upande wa kazi yake mpaka kwenye familia, amekuwa akifuatiliwa na mtu ambaye haijukani ni nani kwa muda mrefu lengo ni kuuliwa na haijulikani huyu mtu anayekufatilia ni nani? na kwanini anataka kumuua? Hapo hapo anapata Taarifa nzito kuhusu baba yake ambaye amemlea ambayo inamshangaza na kumvuruga akili ni Taarifa ipi hiyo?utajua mkiicheki haijaishia hapo akili yake inazidi kuvurugika anakuja kugundua siri ya mumewe hiyo siri ni ipi? Na hapo kazini kwake napo kuna majanga yake

NB: ili upate huu uhondo fatilia hii drama utajua nini reasons za hizo siri zote na matukio yake kutoiangalia hii drama ni kosa la jinai

Numbisa Mac Alpho Nifah Han Kyul talnam adriz
 
Nimetoka kuitafuta naona zipo nyingi, weka vizuri mwaka na hata ikipendeza tuwekee na official poster yake au majina ya wahusika wakuu.
Asante.
 
Nimetoka kuitafuta naona zipo nyingi, weka vizuri mwaka na hata ikipendeza tuwekee na official poster yake au majina ya wahusika wakuu.
Asante.
Ndio imeanza imetoka episode 2

Jang Nara na Son Ho Jun project yao nyingine hii
 
Nitabalance ratiba hiyo nimeichukua ila bado sijaangalia nilikiwa namalizia viporo vya 2023
 
Nimetoka kuitafuta naona zipo nyingi, weka vizuri mwaka na hata ikipendeza tuwekee na official poster yake au majina ya wahusika wakuu.
Asante.
Inaitwa my happy ending sio the happy ending kama nilivyotaja awali nimeshaedit tayari imetoka mwaka 2023 na ni ongoing drama
 

Attachments

  • download.jpeg
    9.7 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…