Vp ushaangalia show yetu pendwa?
Mbona dramanice inakubali kupakua vyema japo ni kweli ilisumbua jana ilikuwa inaweza 0B haianzi kuhesabu ila leo imekaa sawa.Inferno?
Exchange inasumbua ku download sijui shida nin, nimeshajarib mara tatu inakaa masaa haiish nastopisha, nadhan dramanice ndo shida sijui
Inferno nimeshusha kwa Nkiri
Cant wait kumuona Gwan hee akilia, sijui aliumizwa au vipi ila hayupo tayar kupendana
Mbona dramanice inakubali kupakua vyema japo ni kweli ilisumbua jana ilikuwa inaweza 0B haianzi kuhesabu ila leo imekaa sawa.
Kuhusu huyo Gwan-hee ni anaudhi kwa mtu wa miaka 36 kujikuta kama teenager,huyo alie tu ni red flag no wonder hadi umri huo yupo single
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nazo utajikuta unafuatilia tu siku moja[emoji38]Kawaida,ambacho sifuatilii kuhusu Korea ni politics tu[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama vile kuna kitu utawafanya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kutudhalilisha
Ila fresh[emoji16]
Tuone atakuwa na nani mwishoni but nawahurumia zaidi Min Woo na Si Eun inaonekana kama kuna kitu kilienda wrong naiona endgame ya Won-ik na Si Eun.Nitajarib tena
Wakat wanasema ex wake amekaa nae 6years
Atakua na trauma labda from last relationship
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama vile kuna kitu utawafanya
Tuone atakuwa na nani mwishoni but nawahurumia zaidi Min Woo na Si Eun inaonekana kama kuna kitu kilienda wrong naiona endgame ya Won-ik na Si Eun.
Jana kwenye game ta Basketball Hajeong,Habin,Jin Seok,Minyoung na Min Kyu walikuwepo kumsapoti mwamba Gwan-hee.
Kupitia ile picha nikapiga mahesabu yangu kuna end game couple 2
Halafu kuna scenes bila shaka zimefutwa maana kwenye trailer zilikuwepo ila huku hatujazionaKitu nafurah ni jin seok atakavyorudi kwa minyoung
Hiyo ndo coupl naeza ona iko sure
Halafu kuna scenes bila shaka zimefutwa maana kwenye trailer zilikuwepo ila huku hatujaziona
Yah na ile pisi sijakariri ni nani inaiulizwa na mwamba something like Gwan-hee kwamba inataka kulala ikajibu "Arasseo" ikapanda kitandani walale pamoja[emoji23]Za makiss?
Yah na ile pisi sijakariri ni nani inaiulizwa na mwamba something like Gwan-hee kwamba inataka kulala ikajibu "Arasseo" ikapanda kitandani walale pamoja[emoji23]
Kuna ex couple moja kwa show yetu walidate miaka 13 aisee huyo mwanamke analia kila akiwa peke yake hataki kumsahau ex wake.Atakua Minji seems waliingia hot tub pamoja ndo maana alimkataza asiingie na hye seon
Ila hiyo scene hawakuonesha, pamoja hata walivyolala. Tukaamshwa wanarudi inferno
Kwanza kile kilio cha N[emoji2960] sio bure na ile mitego ya nguo.
Kuna ex couple moja kwa show yetu walidate miaka 13 aisee huyo mwanamke analia kila akiwa peke yake hataki kumsahau ex wake.
Hadi mashosti zake walikuwa wanamshangaa kwamba alipewa mini na ex wake kiasi kwamba hawezi kuishi bila yake.
Dah hata mimi imeniuma miaka 13 mingi sana alideserve ndoa kabisa
Ndio hapo sasa,alijaribu kumove on ila kukutana na ex wake tena kumeutikisa moyo wake.Ndo naimalizia kutazama hapa
Nimeidownload kwa mbinde
Miaka 13 duh
Ndio hapo sasa,alijaribu kumove on ila kukutana na ex wake tena kumeutikisa moyo wake.
Miaka yake ni 30 so kwa haraka walikutana wakiwa wadogo ni first love wake ndio mpenzi wa maisha yake kumsahau ngumu sana labda ubongo uwe formated[emoji16]
Yule Hae Eun hapa kwa Dahye haingii ndani huyu Bibie analia aisee[emoji1316]
Kudate miaka mingi sana bila ndoa watu wanachokana pia yule Dahye ndio sababu ya relationship kufika hata hiyo miaka 13 maana sparks zilianza kupotea miaka ya mwisho ila Dahye alikuwa hataki kusikia kitu breakup alikuwa obsessive hasikii wala haoni.So alipambana kuishikilia relationship ila mwisho akaona bora tu amuachilie tu jamaa aende maana begging for love nayo ni utumwa.Sema Nadhan huwa wana filter kama ku cheat kama chanzo cha break up
Hae eun alifumaniwaga, jinsi alivyolia alafu alivyokuja kumpenda yule dogo
Tumuone huyo Dahye
Season 1 yule alienda had mapumziko kwao kisa kumlilia ex ila alifall kwengine