Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

안녕핫심니카? 올만니다. Nawasalimu wote wana jf wapenzi na wadau wa korean drama. Hivi team song il gook 송일국 na team choi soo jong 최소종 mpooo??
Tupooooo
Team Il Song Gook hapa [emoji4] [emoji123]
 
Asante Oppa.
BTW hizi hashtags za goodbye zinaashiria nini? [emoji134]
 
fanya mpango utembelee Seoul ukifanya masihara utapinduliwa,umeona wapinzani wako wanavyompelekea zawadi.
[HASHTAG]#goodbye[/HASHTAG]
Walah nimeshaliwa sijui nibakie na sponsor wangu Jang hyuk tu[emoji85]
 
Ingia dramacool chagua unayotaka then endelea kushusha mzigo
 
Walah nimeshaliwa sijui nibakie na sponsor wangu Jang hyuk tu[emoji85]
sesang-e (oh my God) mbona unanivunja moyo,ni siku 14 tu tokea aache kukupigia simu ila umeshaanza kufikiria vibaya.Naamini hawezi kukusahau na hao wanaoigiza kumpelekea zawadi kumbe wana lao jambo wanajisumbua tu. jambo la msingi muandalie zawadi nzuri kwa ajili ya kutimiza miaka 30 mnamo mwezi june 22
[HASHTAG]#goodbye[/HASHTAG]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] miaka miwili mingi sana bhana ngoja niendelee kujiliwaza na sponsor tutaelewa siku atakayorudi
 
Asante Oppa.
BTW hizi hashtags za goodbye zinaashiria nini? [emoji134]
Hahahahahaaaaa Hata mimi sijui namaanisha nini ila ninachokumbuka ujumbe wangu wa kwanza kuandika hapa jamiiforums ilikuwa ni kwenye thread hii. Naweza kusema hii ndio sehemu niliyoitembelea mara nyingi zaidi na kutoa mawazo yangu kuliko thread au jukwaa lolote lile kwa asilimia 85%.

Kwa sasa muda mwingi nipo online ila sifahamu kitakachotokezea siku chache zijazo na sababu kubwa ni computer (laptop)yangu nategemea kumpa mdogo wangu na pia nitakosa huduma ya Wi-fi na hata modem yangu natarajia kumpa mdogo wangu . Ili nitumie internet itanibidi niende Internet café jambo ambalo ni gumu kulifanya kila siku kwa sababu ya gharama za kila siku, kwa utumiaji wangu wa internet kwa siku natumia wastani wa GB 5 na internet service nchini kwetu ni gharama sana labda ujiunge na vifurushi vya siku mpya (saa 6 usiku).
kwa hivyo itakuwa ni vigumu kutembelea jamiiforums
 
What? Sasa oppa mi sijaelewa...comments zilizokukwaza ndo zimekufanya umpe mdogo wako laptop au..? [emoji24] [emoji24] usitufanyie hivyo bwana tutaishije hapa bila wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…