wanafunzi wako bado hawajahitimu?Bado ipo, na naweka drama kila nikipata nafasi.
M Z A N Z I B A R I rudi kwenye channel tusaidiane kuwapa burudani wapenzi wa drama za kikorea hapa bongo.
Kumbe ndio wewe? Nimekuona tokea juzi.wanafunzi wako bado hawajahitimu?
ok, let us do japo kwa speed ya kobe, nitakuwa na mchana mzuri kwa mwezi wa ramadhan.
ramadhan tunatoka kazini saa 8 (kwa watumishi wa serikali) na hata mbio zinakuwa si nyingi sana.
===========
search - I AM YOU kwenye channel ya telegram.
Hii hali nilijua ni ya muda tu ila naona siku zinavyozidi ndio nazidi kupoteza hamu, ngoja nione mwisho wakeHujazeeka rol modo ni kukinai mimi ndo maaana Sub yangu ni variety shows, nikichoka choka
Kuna kipindi ni kama drama zilizopo haziridhishi baada ya two ep
Na ile scene ambayo aliokota picha chini waliyopigwa wakati anakiss na Taeoh facial expression yake wamepatia sababu zaidi ya kumkosoa namna alivyoreact walitegemea sura ioneshe mshtukoNetizens wanatumia nguvu kubwa sana kumponda huyu binti anayeitwa Hong Su Zu.
ningelikuwa msimamizi wake ningelipokea project ndogo ndogo mpaka pale mteja wangu atakapoiva kwenye tasnia ya uigizaji.
==========
The impossible heir ndio drama ninayoizungumzia.
Inanishawishi kuiangalia.
huyo mzee ananivutia sana hususani akiwa villain kwa kwenye romantic teacher kim drama
View attachment 2935491
Queen Of Tears itamtikisaNasubiria drama itakayotikisa moyo wa innocent dependant aje atumwagie gazeti la kuisifia hapa
Hii habari ina siku 5 sasaRyu jeon na hyeri wameachana
Hii couple iliniuma kwenye reply 1988 leo ndo naona han sohee huyu actress ndo baby mpyaa sa wote nawapenda nilitaman ni mcurse ryu
Haya hyeri arud kwa big screen sijamuona sanasana
Mimi hapaTangu 2024 ianze nimeangalia
Bitch x Rich
Mask girl
Soundtrack
Doctor slump
Shop for killers
A killers paradox
A good day to be a dog
Lovesong for illusion
Captivating the king
My demon
Pyramid game
Doona!
Na sasa naangalia knight flower....katika hizo zote hapo juu hivi kuna aliyevutiwa na doctor slump kweli?
Daah kwenye Doctor Slump sikupata nilichotarajia, story haikuwa nzuri lakini wahusika wakuu hawakuendana vizuri.Tangu 2024 ianze nimeangalia
Bitch x Rich
Mask girl
Soundtrack
Doctor slump
Shop for killers
A killers paradox
A good day to be a dog
Lovesong for illusion
Captivating the king
My demon
Pyramid game
Doona!
Na sasa naangalia knight flower....katika hizo zote hapo juu hivi kuna aliyevutiwa na doctor slump kweli?
Daah kwenye Doctor Slump sikupata nilichotarajia, story haikuwa nzuri lakini wahusika wakuu hawakuendana vizuri.
Ule u cute na ni watu wa 30’s hauna uhalisia hata kama hawana experience ya mapenziYule muhusika wa kiume ameharibu zaidi kujifanya cute na kuchekesha chekesha loh!
Stori haieleweki watu wapo wapo tu
Kwenye hii list nyingi sijamaliza zaid ya knight flower na captivating the kingTangu 2024 ianze nimeangalia
Bitch x Rich
Mask girl
Soundtrack
Doctor slump
Shop for killers
A killers paradox
A good day to be a dog
Lovesong for illusion
Captivating the king
My demon
Pyramid game
Doona!
Na sasa naangalia knight flower....katika hizo zote hapo juu hivi kuna aliyevutiwa na doctor slump kweli?
Mara ya kwanza sikujua ni han sohee kipenz changuHii habari ina siku 5 sasa
K
Kwenye hii list nyingi sijamaliza zaid ya knight flower na captivating the king
Doona, My demon, soundtrack subtitle ilikua inachelewa, love song for illusion plot holes zilikua nyingi ingawa stor line ni nzuri na iko relatable, mask girl nayo mnh
Niko na flex x cop sijui sipend ahn bo hyun wanvyomremba remba sikuiz au ndo kafanya sajariii ah
Queen of tears, kim soo hyun ni mu handsome ila kuna expression zimemganda kwenye kila drama ila niko sambamba nayo