Ule u cute na ni watu wa 30’s hauna uhalisia hata kama hawana experience ya mapenzi
Mimi naona park hyungshik amekonda sana hata nguo hazimpendezi humo, nimeitazama vile sikuwa na drama ila nipo hapo ep ya 13 nimerukia flex x cop
Flex ina ukawaida ila nzuri nzuriKnight flower sijui kwanini naionea uvivu...nafikiri nina zaidi ya wiki mbili tangu niipakue lakini hadi sasa nipo episode ya 4
Mie huwa sipendelei sana historical drama lakini lovesong for illusion na captivating the king nimenyoosha mikono,ni nzuri mno
Subtitles zikichelewa ama zikiwahi zinakata stimu kiukweli
Flex x cop na queen of tears naiona kwenye list lakini hazinivutii kuangalia...ni nzuri?
Wamezidisha mno naoKuna actors u-cute hauwapendezi tu,haijalishi umri
Song kang anaenda 30 lakini ana ucute fulani hivi sio wa kufosi
Shin Mina anakaribia 40 lakini akiact cute anapendeza kweli kweli
Kuna actors u-cute hauwapendezi tu,haijalishi umri
Song kang anaenda 30 lakini ana ucute fulani hivi sio wa kufosi
Shin Mina anakaribia 40 lakini akiact cute anapendeza kweli kweli
😃🤣 ata tuonje kwakweliHivi hapa Tz kuna maduka yanayouza KOPIKO, au brand nyingine yoyote ambayo ni substitute yake?
Tumetoka kwenye SUBWAY tumekuja kwenye KOPIKO 😁
Hizi KOPIKO nazikubali sana kwa kuziona, zingekuwepo ningekuwa nimenunua tayari.😃🤣 ata tuonje kwakweli
Kuna vile vi energizer na lipbalm wanapaka had shingon
Subway imekuja na sijakula, naogopa izo mixer zao
Tumia Kisstvshow.to huko ila lazima utengeneze hata account ya mchongo kulog in ili uone sehemu ya kudownload.Han Kyul umefanyaje kushusha ep 15 ya exchange? Kama unayo naomba nitumie telegram nahangaika kuishusha wiki yote majib ni 404 not found
Na inanipa moto izo coment za wadau dramanice zimevunja record kwa dating show
Kama unayo nitumie telegram jana nime log in kila sehem ya kudownload inakataa, wakasema haipo accesible in my country nikatumia vpn lakin hola nimedownload app kibao.Tumia Kisstvshow.to huko ila lazima utengeneze hata account ya mchongo kulog in ili uone sehemu ya kudownload.
Aisee naona hivi sasa mambo yanaenda kubadilika Seokyung mjinga sana wivu mwingi anajikuta mgumu,uvumilivu umemshinda kuwaangalia Juwon na Yu Jung ikafika stage ya kumwambia Juwon atume text kwa Jongeun aliyeenda nae date,couple imeingiwa na mapepo kama ya kwa Nayeon na Hee Doo ugomvi kama wote Seokyung mkali sana
Namuona Yu Jung akifanya maamuzi magumu ya kutomchagua yoyote kati ya Changjin na Juwon,but natamani arudi kwa Changjin pale kwa Juwon alishasema hawezi kwenda kama jamaa hajafanya closure na ex wake
Tumia Kisstvshow.to huko ila lazima utengeneze hata account ya mchongo kulog in ili uone sehemu ya kudownload.
Aisee naona hivi sasa mambo yanaenda kubadilika Seokyung mjinga sana wivu mwingi anajikuta mgumu,uvumilivu umemshinda kuwaangalia Juwon na Yu Jung ikafika stage ya kumwambia Juwon atume text kwa Jongeun aliyeenda nae date,couple imeingiwa na mapepo kama ya kwa Nayeon na Hee Doo ugomvi kama wote Seokyung mkali sana
Namuona Yu Jung akifanya maamuzi magumu ya kutomchagua yoyote kati ya Changjin na Juwon,but natamani arudi kwa Changjin pale kwa Juwon alishasema hawezi kwenda kama jamaa hajafanya closure na ex wake
Dramanice ipo na subtitlesHivi lee san au yi san kuna sehemu inayopatikana ikiwa na subtitles?
Sijaikatia tamaa hii drama
Masaa 3 mbona haina mb nyingi mi nimeuchukua kwa mb kama 625 na quality nzuri dramanice kule link ya za chini hebu nikutafutie link niliyochukuliaK
Kama unayo nitumie telegram jana nime log in kila sehem ya kudownload inakataa, wakasema haipo accesible in my country nikatumia vpn lakin hola nimedownload app kibao.
Alaf masaa matatu sio poa
Hivi lee san au yi san kuna sehemu inayopatikana ikiwa na subtitles?
Sijaikatia tamaa hii drama
Dramanice ipo na subtitles
KissAsian | Watch Online Yi San Episode 1 Free with Eng cc Subs in HD
Watch Yi San Episode 1 on this cool site Online free with English cc subtitles. Download all drama series in Full HD.ww.kissasia.cc
Hii Yi San ndio nipo nayo hapa ep 44, kwingine kote nilikuwa naipata bila subtitles ila DRAMACOOL ipo na subtittles. Changamoto ni MBs hazieleweki, kuna eps zina 100-500.Hivi lee san au yi san kuna sehemu inayopatikana ikiwa na subtitles?
Sijaikatia tamaa hii drama
Hii Yi San ndio nipo nayo hapa ep 44, kwingine kote nilikuwa naipata bila subtitles ila DRAMACOOL ipo na subtittles. Changamoto ni MBs hazieleweki, kuna eps zina 100-500.
Drama nzuri sana hii.
Mimi drama zote naangalizia kwenye simu, natumia VLC na haijawahi kukataa.Tatizo la dramacool ninayoipata nikizidownload kwa simu hazikubali kuplay popote pale zaidi ya kwenye browser niliyotumia kuzidownoad episode hizo
Wow ntaongeza bidii kuisaka niiangalie na mie