Han Kyul
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 264
- 529
Mimi najikaza japo ina heartbreak ila siwezi skip hata episode moja siwezi afford kuweka viporoMzee
wa spoilers tuliaa
Ila alojikaza atizame had ikiisha anawezaje maana ina kimuhe muhe hii drama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi najikaza japo ina heartbreak ila siwezi skip hata episode moja siwezi afford kuweka viporoMzee
wa spoilers tuliaa
Ila alojikaza atizame had ikiisha anawezaje maana ina kimuhe muhe hii drama
Mzee
wa spoilers tuliaa
Ila alojikaza atizame had ikiisha anawezaje maana ina kimuhe muhe hii drama
Mimi najikaza japo ina heartbreak ila siwezi skip hata episode moja siwezi afford kuweka viporo
🤣🤣 ah mateso ya nin, hapa wiki naiona ndefu. Kama hii ep ya 7&8 ni hatariYani ina kimuhemuhe sio cha nchi hii
Kila nikisema najikaza nasubiri iishe najikuta nashindwa🤣🤣🤣
Yah nimeicheki episodes zote watu wazuri favourite wangu Seseung na vishimo vyake mashavuni akiwa anafurahi na ndugu yake Jaehyung,Jiwon anafuatia hairstyle yake ilinivutia(utamuona soon ukifika episode za mbele)Han Kyul ivi una habari na pacha ya exchange ni My sibling’s romance nimetazama episode 2 ila am sooo hooked
Kwanza watu wadhurii alafu roho safii sijui huki mbele
Nasikia PD wa season 1&2 ya exchange ndo aloanzisha hii
Mbona ulifanya siri hahahah, dah ni nzuri sanaYah nimeicheki episodes zote watu wazuri favourite wangu Seseung na vishimo vyake mashavuni akiwa anafurahi na ndugu yake Jaehyung,Jiwon anafuatia hairstyle yake ilinivutia(utamuona soon ukifika episode za mbele)
Majamaa wamewekwa MBTi zao zinalingana basi ni bromance kwa sana[emoji23]
Ila kuna watu wanafanana aisee naamini kuna watu walishashtukia kuwa Yong Woo na Juyeon ni ndugu sura tu zinafanana asilimia kubwa
Halafu huyo PD na TL3 angeenda nayo mwenyewe katuachia mess kwa huyu wa sasa episode ya 19 inakuja hakuna closure wala sure possibility ya maex wanasimama wapi
Hii Transit Love ya saa hizi ni mess episode 2 zilizobaki siangalii nitaishi na spoilers tiktok na X hadi nijue mwisho wake kama itanipa moto wa kuangalia tenaMbona ulifanya siri hahahah, dah ni nzuri sana
Yong woo mzuri sana awwh [emoji14]
Ah exchange inakomesha mi ndo nlishangaa hizo final couple zilitokeaje watu sijui waliachana wiki ndo wakaingia humo
Inawezekana maana nilihis kama nishawah ona ila sikumbuki wapi, mpaka nimekutana nayo tena coment section ya transitHii Transit Love ya saa hizi ni mess episode 2 zilizobaki siangalii nitaishi na spoilers tiktok na X hadi nijue mwisho wake kama itanipa moto wa kuangalia tena
Halafu hiyo ya Siblings kitu kama nilikusanua mbona pamoja na couple palace
Haiwezekani kuwa hivyo Hyewon kilichomsogeza kwa Dongjin ni utoto na kutosomeka kwa Hwihyun ila dogo akituliza wenge Hyewon hawezi kuwa interested na mwingine zaidi yake.Inawezekana maana nilihis kama nishawah ona ila sikumbuki wapi, mpaka nimekutana nayo tena coment section ya transit
Couple inayoniuma ni Dongin na HW nataman wangeishia pamoja,
Ila ndo hamna kinachoeleweka
🤣🤣 tujiulize maana hela ndo kama hivyo hakuwa nazo.Haiwezekani kuwa hivyo Hyewon kilichomsogeza kwa Dongjin ni utoto na kutosomeka kwa Hwihyun ila dogo akituliza wenge Hyewon hawezi kuwa interested na mwingine zaidi yake.
I wonder kijana alimpa nini Hyewon aisee[emoji23]
I tbink inategemea aina ya mwanamke kama muelewa huwezi mlaumu kwa kutokuwa na hela kwa sababu bado mwanafunzi,wanawake wa Korea bila shaka ni tofauti na Wabongo wanajua kuelewa situation ya mtu hasa kama understandable.[emoji1787][emoji1787] tujiulize maana hela ndo kama hivyo hakuwa nazo.
sijaitazama laat week nasubir iishe labdaHii Transit Love ya saa hizi ni mess episode 2 zilizobaki siangalii nitaishi na spoilers tiktok na X hadi nijue mwisho wake kama itanipa moto wa kuangalia tena
Halafu hiyo ya Siblings kitu kama nilikusanua mbona pamoja na couple palace
nilikumbuka wakati wa pasaka sikupata mualiko, so yanini kujitia kiherere cha kualika wachoyo wa pilau
Jamani mmeona kuna what's wrong with secretary kim ya wafilipino sijui wale?
Wameamua kutoa copy and paste kila kitu vilevile,hawajabadili kitu hata kimoja!
Sielewi hii imekaaje?