Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mzee

wa spoilers tuliaa
Ila alojikaza atizame had ikiisha anawezaje maana ina kimuhe muhe hii drama
Mimi najikaza japo ina heartbreak ila siwezi skip hata episode moja siwezi afford kuweka viporo
 
Queen of tears episode 9 is out, najuta kuangalia ongoing ni meteso🙌
 
Han Kyul ivi una habari na pacha ya exchange ni My sibling’s romance nimetazama episode 2 ila am sooo hooked
Kwanza watu wadhurii alafu roho safii sijui huki mbele
Nasikia PD wa season 1&2 ya exchange ndo aloanzisha hii
 
Yah nimeicheki episodes zote watu wazuri favourite wangu Seseung na vishimo vyake mashavuni akiwa anafurahi na ndugu yake Jaehyung,Jiwon anafuatia hairstyle yake ilinivutia(utamuona soon ukifika episode za mbele)

Majamaa wamewekwa MBTi zao zinalingana basi ni bromance kwa sana[emoji23]

Ila kuna watu wanafanana aisee naamini kuna watu walishashtukia kuwa Yong Woo na Juyeon ni ndugu sura tu zinafanana asilimia kubwa

Halafu huyo PD na TL3 angeenda nayo mwenyewe katuachia mess kwa huyu wa sasa episode ya 19 inakuja hakuna closure wala sure possibility ya maex wanasimama wapi
 
Mbona ulifanya siri hahahah, dah ni nzuri sana
Yong woo mzuri sana awwh 😛
Ah exchange inakomesha mi ndo nlishangaa hizo final couple zilitokeaje watu sijui waliachana wiki ndo wakaingia humo
 
Mbona ulifanya siri hahahah, dah ni nzuri sana
Yong woo mzuri sana awwh [emoji14]
Ah exchange inakomesha mi ndo nlishangaa hizo final couple zilitokeaje watu sijui waliachana wiki ndo wakaingia humo
Hii Transit Love ya saa hizi ni mess episode 2 zilizobaki siangalii nitaishi na spoilers tiktok na X hadi nijue mwisho wake kama itanipa moto wa kuangalia tena

Halafu hiyo ya Siblings kitu kama nilikusanua mbona pamoja na couple palace
 
Inawezekana maana nilihis kama nishawah ona ila sikumbuki wapi, mpaka nimekutana nayo tena coment section ya transit

Couple inayoniuma ni Dongin na HW nataman wangeishia pamoja,
Ila ndo hamna kinachoeleweka
 
Haiwezekani kuwa hivyo Hyewon kilichomsogeza kwa Dongjin ni utoto na kutosomeka kwa Hwihyun ila dogo akituliza wenge Hyewon hawezi kuwa interested na mwingine zaidi yake.

I wonder kijana alimpa nini Hyewon aisee[emoji23]
 
🤣🤣 tujiulize maana hela ndo kama hivyo hakuwa nazo.
 
[emoji1787][emoji1787] tujiulize maana hela ndo kama hivyo hakuwa nazo.
I tbink inategemea aina ya mwanamke kama muelewa huwezi mlaumu kwa kutokuwa na hela kwa sababu bado mwanafunzi,wanawake wa Korea bila shaka ni tofauti na Wabongo wanajua kuelewa situation ya mtu hasa kama understandable.

Hata Jongeun wakati yupo na Kwang Tae kijana alikuwa bado mwanafunzi na gharama za dates alilipa yeye,that's love..

Hyewon na Jongeun ni akina noona haswa hawakutaka kikubwa wakijua fika muda ukifika vijana wana kazi na wanaingiza pesa ndio wangeplay part yao.
 
talnam pia unaonaje namna hali inavyoenda hivi Dong Jin anaweza kubadili gia kweli?Dahye kusema kwamba alitegemea relationship yao itafikia katika ndoa hii kitu kama imemchapa mshkaji kumbe wote walikuwa wanafikiria sawa ila hawakuzungumza,tuone itakuwaje.

Changjin nampenda sana shida ana domo zito tangu anamfukuzia Yu Jung kwa mara ya kwanza,mpira ulikuwa upande wake akazembea,still i ship for him and her nakumbuka katika trailer kuna cut inaonesha Yujung analia mbele ya Changjin wamekaa kwenye sofa.

Rollercoaster za Juwon na Seokyung ndio zilizomfanya Yujung kuondoa kinyongo kwa Changjin na kujaribu kumpa second chance.

Hyewon na Hwihyun sijui itakuwaje ila sasa mpira upo kwa Hyewon ndio mwenye maamuzi kijana kashafanya decision tayari kazi kwake kwenda kwa Dong Jin ambaye ataamua kurudiana na Dahye.
That's why Hyewon anatakiwa kufikiria kwa kina kabla ya kufanya maamuzi mtu kuitupa relationship ya miaka 13 sio jambo jepesi.
 
Mi
Hii Transit Love ya saa hizi ni mess episode 2 zilizobaki siangalii nitaishi na spoilers tiktok na X hadi nijue mwisho wake kama itanipa moto wa kuangalia tena

Halafu hiyo ya Siblings kitu kama nilikusanua mbona pamoja na couple palace
sijaitazama laat week nasubir iishe labda
 
Jamani mmeona kuna what's wrong with secretary kim ya wafilipino sijui wale?
Wameamua kutoa copy and paste kila kitu vilevile,hawajabadili kitu hata kimoja!
Sielewi hii imekaaje?
 
Umeidownloadia wapi? na sie tukaangalie yaliyomo

Back
Top Bottom