Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Kaka wachina nao wana dude Lina subiriwa season 2.😂😂😂Mawazo mazuri sanaa
Basi ni vurugu 🤣😂
Kaka wachina nao wana dude Lina subiriwa season 2.😂😂😂Mawazo mazuri sanaa
Itakuwa kaka 😁😂 hii series kalii sanaNili mwambia Madame B hii, sijui ka Ali angalia siku ile.
Siku naioma kwenye site ya drama cool, wali I recommend.Itakuwa kaka 😁😂 hii series kalii sana
Naunga mkono hojaSiku naioma kwenye site ya drama cool, wali I recommend.
Nika pita site yeru ya mashabiki wa series za Korea duniani.
Nao Waka sema ni kwere, Nika ishi nayo kidogo safi😁.
Haya Nita kupa jioni, madude mapya 😂Mie movie za kikorea, sijui wachina, wabongo, wafilipino wala siangaliagi kbs.
Mie napendaga za kizungu na za Africa-africa,ila zisiwe za kibongo.
Hapahapa jukwaani....🤓?Haya Nita kupa jioni, madude mapya 😂
Kha shangazi Usha legea 😀😊🏃, ehh Sema jukwaa la usiku wa manane.Hapahapa jukwaani....🤓?
Afu sahv sikuoni kule.Kha shangazi Usha legea 😀😊🏃, ehh Sema jukwaa la usiku wa manane.
Jamani mi ndo nili funga mlango Jana😁.Afu sahv sikuoni kule.
Ngoja niendeJamani mi ndo nili funga mlango Jana😁.
Ngoja niku tag
😁😂😁😁😂😂😂Mie movie za kikorea, sijui wachina, wabongo, wafilipino wala siangaliagi kbs.
Mie napendaga za kizungu na za Africa-africa,ila zisiwe za kibongo.
🤭🤭🤭🤓🤓🤓😁😂😁😁😂😂😂
Karibu sana kwenye Uzi wetu wa series za kizungu na movie madam🤭🤭🤭🤓🤓🤓
AsanteKaribu sana kwenye Uzi wetu wa series za kizungu na movie madam
Karibu sana madam 😁😂😂😎😎😁Asante
Huwa napita pita sana huko majukwaa mengine.
Si unajua kuzurura muhimu, waweza okota 🥭 chini ya mwarubaini....🤓🤓🤓
Asante mkuuKaribu sana madam 😁😂😂😎😎😁
Kama wewe ni mpenzi wa thriller na zenye matukio basi ifuatilie hii inaitwa nothing uncovered ni bonge la series ina story nzuri na matukio yaliyopangiliwa vizuriNili mwambia Madame B hii, sijui ka Ali angalia siku ile.