Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

katika season zote Kuna watu wanazungumza lugha Fulani amazing mfano Nenthals sijui wamejitungia maneno au ni lugha rasmi.
ni sanaa ya muandishi alioitumia kwa lengo la kuweka utafauti wa species mbili hizo wanapowasiliana, kwa mfano kama ulikuwa unasikiliza kwa umakini utagundua kuna maneno ni ya lugha ya korea lakini muandishi aliyaweka kinyumenyume kimatamshi pindi yanapotamkwa na jamii ya neandthal.

mfano:
saram maana yake ni binadamu (person) kwa kikorea - neandthal walitamka maras kwa maana hiyo ya binadamu.

mian kwa maana ya samahani (sorry) - neandthal walitamka naim

hamkke
- kwa maana ya pamoja (together) - neandthal walitamka ekkmah

kkum -
maana yake ni ndoto (dream) - neandthal walitamka mukk
 
Unyama sana ikifika kipande Cha Neanthal wanaongea bonge Moja la sanaa imetumika.

Hivi hawajatoa season 3 yake maana inaonyesha kama itaendelea , Leo nimemaliza season 1 maana nilianza kucheki season 2 .Season 1 imeisha kizembe sana japo 2 wamejitahidi kuunga stori kuendeleza vyema .
 
I ain't mad at cha - 2Pac
Your browser is not able to play this audio.


Mary J Blige - Dream (slow)
Your browser is not able to play this audio.


don't leave me - Blackstreet

Your browser is not able to play this audio.


Debarge - a dream
Your browser is not able to play this audio.



punda ni yule yule, amebadilishwa kikalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…