Kwa maoni yangu sioni ni vibaya mtu akiponda drama nyingine mwisho wa siku haiathiri chochote kwako as long as ana hoja kupitia hayo mabishano mtu atajua uzuri na ubaya wa hiyo drama it means inampa option nzuriUnajua kuhusu hizi dramas tunatofautiana tastes ni vyema kuheshimu za mwenzako kama mimi action sio tastes zangu huwa siwezi kuangalia action dramas mbili consecutively huwa nachoka haraka
Ukienda kule kwenye reviews hata Empress Ki na Defendant kuna watu wanazipa negative reviews hapa ndio utaelewa drama huwa si bora katika macho ya kila mtu as you know binadamu tunatofautiana katika kupenda kitu
Si vyema kuiponda drama waziwazi kila mtu akiishi na tastes zake moyoni haiwezi kutokea kama ya kijana mmoja humu huwa anazua ubishani na akina Dada[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 na umezitaja kabisaaa drama pendwa
Mzee wa Defendant na The Last shabiki ndakindani wa Ha Ji Won[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kimeshatoka na sijui wapi nakipata acha tu yaaanKuna chuma Cha kichina ndo kina ongozwa Kwa kusubiriwa.
Kina itwa joy of life season 2, katika mtandao wa Weibo, kina wasubiriaji milioni 13.
Huko kwingine namba ni 🔥🔥🔥, hiki chuma naki subiri Kwa hamu Sana😁
Umepata link ya kuiangalia season 2 ndugu?Mkuu mi huwa napendekeza mtu a Google zaidi.
Ila ni uongozi wa ufalme, mauaji ndani ya utawala na visasi.
Mambo mengi game fichwa, so katika kuya fumbua ndo moto una Waka.
Tumia kissasian.lu ama dramanice.la utaipata ipo episode ya 6Umepata link ya kuiangalia season 2 ndugu?
Me nawapeni vitu vikali nyie mnapuuzia madhara yake ndio hayo unakumbuka shuka kushakucha nakupa na nyingine inaitwa nothing uncovered ya mwaka huu ni completed sasa kazi kwakoMzee wa Defendant na The Last shabiki ndakindani wa Ha Ji Won[emoji23][emoji23]
Wiki hii naangalia Pandora ile Beneath The Paradise i think nilifanya mistake kuiruka hii drama mwaka jana ikiwa ongoing
Sasa tastes zangu zipo kwa romance na historical,hizo huwa nacheki nikiwa boredMe nawapeni vitu vikali nyie mnapuuzia madhara yake ndio hayo unakumbuka shuka kushakucha nakupa na nyingine inaitwa nothing uncovered ya mwaka huu ni completed sasa kazi kwako
Hiyo pia ina romanceSasa tastes zangu zipo kwa romance na historical,hizo huwa nacheki nikiwa bored
Naomba link yenye korean drama inaitwa Monster ya 2016 nimejaribu kutafuta nkiri haipo
Kisassian kipo ep ya 8Yaan kimeshatoka na sijui wapi nakipata acha tu yaaan
Asante sana bibie umeupiga mwingi 🙏Monster - KimoiTV
Watch & download Monster K Drama (English Subbed) in MKV (HEVC) on Android & iOS. All episodes available for free mobile streaming & MKV, MP4 download on KimoiTV.com.kimoitv.com
Numbisa nimejaribu kwenye kimoitv kudownload inakataa kama unaweza kunipa website nyingine yenye hiyo drama itakuwa vizuri
Unatumia app ipi kudownload? Me kila nikifika kwenye getting ready unabonyeza vizuri unaambiwa timeoutMbona mie nimeweza kudownload hapo hapo kimoi tena ina episode 50 naivuta yote ikiwa mbovu ntakuja kukulalamikia kwa gazeti reeefuu kupita la chawa mwashambwa
U
Unatumia app ipi kudownload? Me kila nikifika kwenye getting ready unabonyeza vizuri unaambiwa timeout
Asante sana vipi umeanza kuicheki? me nipo episode ya 27 yaani ni tamu sana aisee alafu haina hata promo alafu kali kiasi hichi.Najua unapenda genre ya Romance humo ipo yaani in short ipo full packageNatumia UC browser ipo playstore hata chrome inakubali pia
Asante sana vipi umeanza kuicheki? me nipo episode ya 27 yaani ni tamu sana aisee alafu haina hata promo alafu kali kiasi hichi.Najua unapenda genre ya Romance humo ipo yaani in short ipo full package