Nilishasema mara nyingi wale wajinga walikuwa na possibility kubwa ya kurudiana,shida inapokuja Seokyung alikuwa na pride sana kitu ambacho si kizuri,alikuwa hana interest na mwanaume yoyote anamsubiri Juwon halafu hawezi effort anataka yeye ndio afuatwe sasa alipoona jamaa na Yujung mbona mambo yao kama wanadate tayari vile ikaanza kumuuma[emoji23]Nimelia sanaa
[emoji1787][emoji1787]
Weka recommendations hizo kazi za republication eraHilo tatizo lipo kwangu kwa sasa that's why now nimejikita kwenye ongoing,family na Chinese Dramas za Republication Era
Hapa zimenitoka ila ninazozikumbuka ni Fall In Love,City Of Streamer na Love In Flames Of War hii ndio nzuri sana ina love story nzuri sanaWeka recommendations hizo kazi za republication era
Ya moto sana hii ina vitu ambavyo napendaTunaoangalia Red Swan
NtazishushaHapa zimenitoka ila ninazozikumbuka ni Fall In Love,City Of Streamer na Love In Flames Of War hii ndio nzuri sana ina love story nzuri sana
Boss ifuatilie Red swan ya moto sana tulimiss sana mizigo ya bodyguardJI SUNG yupo kama mvinyo,
Good Evening walevi muliojichokea
Boss ifuatilie Red swan ya moto sana tulimiss sana mizigo ya bodyguard
Huo ndio utofauti aliouweka Mwandishi kutokukariri story na of course mimi nimependaMpangilio wa matukio ni wa hovyo sana, vilivyofanyika kwenye episodes 4 ni kilichotakiwa kuwa kwenye episode mbili za mwanzo.
Inahusiana na niniFlex X Cop ni drama nzuri sana.
Mwamba unajua vitu vikali but Kwenye hiyo list yako hakuna inaifikia "Innocent defendant" hii series ni 🔥 kuanzia story mpaka mpangilio wake wa matukio ni umejaa ubunifu mkubwa ni aina series ambayo adui kapewa nguvu kubwa sawa na Sterling tofauti na series nyingi.Series zangu za mda wote kama hujafatilia hizi zifatilie hutajutia😄🫵
1. Six flying dragons
2. Healer
3. River where the Moon rises
4. Blood (Vampire related)
5. Mr Robot
6. Again in my life
7. Vagabond 1
8. Alice
9. Iljimae
10. Tree with deep roots
11. Iris 1
12. Flower of evil
12. Two weeks
13. Mr Robot
14. Giant
15. Goodbye Mr Black
16. Rugal
17. K2
18. Monster
19. Scholar who walks at night
20. Gunman in Joseon
21. Kill it
Nimefarijika sana kuiona healer kwenye top 3. Kwangu mimi ni second to none.Series zangu za mda wote kama hujafatilia hizi zifatilie hutajutia😄🫵
1. Six flying dragons
2. Healer
3. River where the Moon rises
4. Blood (Vampire related)
5. Mr Robot
6. Again in my life
7. Vagabond 1
8. Alice
9. Iljimae
10. Tree with deep roots
11. Iris 1
12. Flower of evil
12. Two weeks
13. Mr Robot
14. Giant
15. Goodbye Mr Black
16. Rugal
17. K2
18. Monster
19. Scholar who walks at night
20. Gunman in Joseon
21. Kill it
Ngoja niitafuteMwamba unajua vitu vikali but Kwenye hiyo hakuna inaifikia "Innocent defendant" hii series ni 🔥 kuanzia story mpaka mpangilio wake wa matukio ni umejaa ubunifu mkubwa ni aina series ambayo adui kapewa nguvu kubwa sawa na Sterling tofauti na series nyingi.
Red swanWakuu drama gani nzuri ya 2024
Naingia night shift leo nataka nikeshe nayo