Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sijaona descendants of the sun, pia asante sana kwa hii watchlist
 
Ndiomaana siku hizi napata tabu sana kupata drama ya kuangali, vitu vya moto karibia vyote nishaangalia hadi nakosa nishike ipi.

Kwenye hii list yako nimeona zote.
 
Main character wa kiume kwenye hii drama (Bi Rain) alifanya vizuri sana kwenye drama "FULL HOUSE" ya 2004, humu pia kafanya poa sana.

Jamaa ana profile kubwa sana kama mwanamziki Korea kusini na Bara la Asia.
 
Jamaa anajua sana to be honest hii ndio drama yangu ya kwanza kumuona
 
Anayejua page ya telegram ninapoweza kupata seasons za kikorea. Niliyokuwa nayo naona imekuwa suspended.
Kutumia websites tatizo la ads linasumbua sana
 
Jamaa anajua sana to be honest hii ndio drama yangu ya kwanza kumuona
Ni mkongwe sana huyo kwenye game, ila mafanikio yake makubwa ni kwenye mziki.

Jamaa ameoa actress ninayekubali sana kazi zake (haswa kwenye Iris), Kim Tae Hee.
 
natafuta kigongo kikali cha kikorea naombeni mnipe list ila ziwe latest 🤝
 
Main character wa kiume kwenye hii drama (Bi Rain) alifanya vizuri sana kwenye drama "FULL HOUSE" ya 2004, humu pia kafanya poa sana.
kwa lugha ya korea neno BI (비) maana yake ni mvua kwa tafsiri ya kiswahili.
ukimwita BI RAIN hapo utakuwa umechanganya lugha mbili.
waonaje tukamwita BI RAIN MVUA.
 
The K2 si mchezo, ni moja wapo kati ya series zangu za muda wote.
 
Umenikumbusha series ya wanted, yani pamoja na mhalifu kuja kujulikana na maovu yake ila kutokana na nguvu aliyonayo hadi series inaisha anabaki kuwa untouchable.
 
Umenikumbusha series ya wanted, yani pamoja na mhalifu kuja kujulikana na maovu yake ila kutokana na nguvu aliyonayo hadi series inaisha anabaki kuwa untouchable.
Wanted nimeicheki ni nzuri but niwe honest nimeangalia korea series nyingi but sijaona kama innocent defendant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…