Asante mkuu ngoja nizitafute.Big mouth Inahusiana na jamaa ambaye anajikuta anaingizwa jela kwazaniwa ni big mouth huyu big mouth hakuna mtu aliyewahi kumuona ila ni mtu balaa na anamatukio makubwa na pia anatafutwa na baadhi ya kulingana na misala aliyofanya tofauti tofauti.Kutokana na kuogopwa kwa big mouth kijana asiyekuwa siye anajikuta anauvaa uhusika asioujua.
Worst of evil yenyewe inahusiana na undercover ambaye anapewa mission ya kupeleleza kundi hatari la kiuni hapo mjini so anatengeneza mazingira ya kuaminiwa na hilo kundi ili awe mmoja wao ili iwe rahisi kuwapeleleza.
Sasaiv ndo tunasubir december single inferno?Kuna mtu humu ndani huwa ananifurahisha sana nikionaga maelezo yake sinaga cha kuongeza nabakia speechless[emoji23][emoji23]
Anyway now naangalia ongoing dramas za tastes zangu kabisa na zote ni weekend
Bad Memory Eraser
Romance In The House
Good Partner
Love Next Door
DNA Lover
Bila kusahau kando Beauty And Mr Romantic na Blackout
Nilimjulia humu yeye na IULeo nimejikuta tu namkumbua the late LEE SUN KYUN, Ile kazi alifanya kwenye drama ya MY mister akiwa pamoja na IU ilikuwa ni exceptional by far. Storyline ya mule kuhusu maisha, ile main OST ni lazima zokupe heartache tu.
So sad jamaa aliamua kujipoteza baada ya kuzongwa sana tuhuma, ile drama ni kama alijiigizia future yake.
Kwasasa inaniwia ngumu sana kuangalia kazi zake, unaangalia huku unajua kabisa kuwa hayupo tena duniani.N
Nilimjulia humu yeye na IU
Kuna kazi yake moja had nimeshindwa kuitazama, kifo chake kimeniuma jaman.
Wakat huo namchanganya IU na kim taeri
Dating variety nzuri iliisha mwezi uliopita Possessed LoveSasaiv ndo tunasubir december single inferno?
Nimemis dating variety
My variety list kwa sasa
My name is Gabriel
Jinny’s kitchen
Nimejaribu na the influencer kuna ka S’ kameshaniboa siitazami tena
Na weekly variety
I am solo, running man, king of mask singer na i live alone.
Nataman niongeze list ya variety za vituko vituko
Ni Love Wins AllKwasasa inaniwia ngumu sana kuangalia kazi zake, unaangalia huku unajua kabisa kuwa hayupo tena duniani.
IU nilianza kumuona kwenye FAITH nikaja kumuona kwenye Scaret Heart Ryeo (humu aliuvaa sana uhusika) baadae nikamuona kwenye HOTEL DEL laluna kabla sijamuona kwenye hiyo MY MISTER. Kwakweli ni moja kati ya Korean actress ninaowabali sana. Ana nyimbo yake moja inaitwa "LOVE IS ALL" naikubali sana.
Nishamjua huyo mtuKuna mtu humu ndani huwa ananifurahisha sana nikionaga maelezo yake sinaga cha kuongeza nabakia speechless[emoji23][emoji23]
Anyway now naangalia ongoing dramas za tastes zangu kabisa na zote ni weekend
Bad Memory Eraser
Romance In The House
Good Partner
Love Next Door
DNA Lover
Bila kusahau kando Beauty And Mr Romantic na Blackout
Iu nilidownload sijui album nzimaKwasasa inaniwia ngumu sana kuangalia kazi zake, unaangalia huku unajua kabisa kuwa hayupo tena duniani.
IU nilianza kumuona kwenye FAITH nikaja kumuona kwenye Scaret Heart Ryeo (humu aliuvaa sana uhusika) baadae nikamuona kwenye HOTEL DEL laluna kabla sijamuona kwenye hiyo MY MISTER. Kwakweli ni moja kati ya Korean actress ninaowabali sana. Ana nyimbo yake moja inaitwa "LOVE IS ALL" naikubali sana.
Hii ndo yupo na BTS VNi Love Wins All
Ewaaaahh nimeteleza kidogo, ni hiyohiyo. Asante sana kwa marekebisho.Ni Love Wins All
Ni huzuni kwakweli lakini msongo wa mawazo mara nyingi huambatana na kucommit suicide sijui zile tuhuma zilikuwa za kweli au la mana wakorea...Leo nimejikuta tu namkumbua the late LEE SUN KYUN, Ile kazi alifanya kwenye drama ya MY mister akiwa pamoja na IU ilikuwa ni exceptional by far. Storyline ya mule kuhusu maisha, ile main OST ni lazima zokupe heartache tu.
So sad jamaa aliamua kujipoteza baada ya kuzongwa sana tuhuma, ile drama ni kama alijiigizia future yake.
YeahHii ndo yupo na BTS V
Mpya mpya?