Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

H

Hayo ndo maendeleo Mkuu
Nadhan angalau kwenye korea khitan war ile scene ili make sense kwakua walikua wanatafuta mrithi

Ila queen woo na nudity nyingi alfu wanarudia rudia, sema ina ka story katam

Sijapenda kwakweli ila ngoja niendelee
 
Niliona maudhui ya Ushoga kwenye Goryeo khitan war I think mwanzoni.. nimeona pia mapenzi ya jinsia Moja kwenye hii Queen woo mwanzoni.. maudhui ya namna hii hayakuwepo kwenye series za kikorea kipindi Cha nyuma... Hii Inamaana Gani??
Kwa sababu ya audience

Unajia kwa nini nachukia series za Netflix na web platforms nyingine?

Kwa sababu watu wa underage kutokuwa na access mazima ndio maana unaweza kukutana na contents za ajabu

Hayo mapenzi ya jinsia moja sio kitu kigeni Frozen Flower ya 2008 ilikuwepo ila kwa kuwa ni filamu na minors hawana access ya kutazama moja kwa moja wakajilipua tu,hizo contents zipo tangu mwaka 2000 huko.

Tukirudi kwenye point kuu kinachofanya tusione sana hayo mambo ni kupungua kwa drama zinazooneshwa kwa TV Channels,huko SBS,tvN,KBS,Jtbc,MBN n.k hizo ni tv networks zinazotazamwa na familia kabisa so maadili yanazingatiwa katika contents zao ndio maana tunaonata age ratings zao ni miaka 15 teen age hiyo hata watoto na wazazi wanaweza kukaa na kutazama.

Shida inapokuja kuingia kwa hizi OTT,online platforms zinazopata rights za kuweka drama, kwa korea sasa kuna Coupang Play(hawa drama yao ya kwanza ilikuwa ni Hit The Spot humu ndani kuna maudhui ya kiutu uzima yaani Nudity na Extreme Sexual Contents),pia kuna Wavve(hawa bado wanazingatia maadili,tVN walianzisha online platform yao ndio hii inaitwa TVING nilikuwa naiamini sana ila now kwa mara ya kwanza ndio wameleta maudhui hayo.

So shida sio Wakorea shida ni wanaopata haki za kuonesha hizo kazi wanapokuwa na standards zao walizojiwekea,tujikite katika kuangalia hizi tv dramas tu hatutakutana na huo uchafu.
Tuombe hizi tv zao ziendelee kuchukua rights za kuonesha drama kwa wingi
 
kuna siku mlikuwa mkijadili series ya kikorea kuna scenes wanaongea kiswahili (nadhani ni ishu TRA), naombeni jina la series hiyo,,,,,,,,,,,,,,
 
kuna siku mlikuwa mkijadili series ya kikorea kuna scenes wanaongea kiswahili (nadhani ni ishu TRA), naombeni jina la series hiyo,,,,,,,,,,,,,,
Chief kim (Good Manager) drama:
Chief_Kim_S01E19_KimoiTV.com_1.gif
 
Niliona maudhui ya Ushoga kwenye Goryeo khitan war I think mwanzoni.. nimeona pia mapenzi ya jinsia Moja kwenye hii Queen woo mwanzoni.. maudhui ya namna hii hayakuwepo kwenye series za kikorea kipindi Cha nyuma... Hii Inamaana Gani??
Kama ulifanikiwa kuitazama Empress Chounchou inaelezea nyakati hizo hizo za vita ya Koryeo na Khitan. Although muhusika mkuu humu alikuwa Chounchou na mpenzi wake Kim .. pamoja na Gang Jo.
Huyo mfalme alishiriki mapenzi ya jinsi moja. Ikumbukwe hii drama ni ya kati ya 2009- 2012( sikumbuki vizuri mwaka iliyotoka ) perhaps kwenye history jambo hilo lilitokea.
Iliyonikera ni Under Queen's Umbrella. Niliitazama almost 5 nikaachana nayo.

Ila nakupa recommendation ya kuifuatilia hiyo Empress Chouchou hutojuta.
 
Je watawala wazamani wa Korea walishiriki mapenzi ya jinsia Moja au linatafutwa soko la filamu huko ulaya?
 
Niliona maudhui ya Ushoga kwenye Goryeo khitan war I think mwanzoni.. nimeona pia mapenzi ya jinsia Moja kwenye hii Queen woo mwanzoni.. maudhui ya namna hii hayakuwepo kwenye series za kikorea kipindi Cha nyuma... Hii Inamaana Gani??
Hiyo Goryeo Khitan War nilitaka nianze kucheki maan inasifiwa humu kumbe Kuna mambo ya kipunga ! basi nimeghairi kabisa kutafuta.
 
Hiyo Goryeo Khitan War nilitaka nianze kucheki maan inasifiwa humu kumbe Kuna mambo ya kipunga ! basi nimeghairi kabisa kutafuta.
Nimwanzoni tuu ila mbele tamu ila hii ya queen woo labda ni mimi tuu ila kiukweli nimeghairi kuitazama imekuwa kama Picha ya X
 
kwa upande wa legal dramas nafikiri kituo cha SBS wapo katika dunia ya peke yao. Wamekuwa na muendelezo bora sana wa uzalishaji wa dramas zenye maudhui hayo ndani yake.
  1. Good partner
  2. one dollar lawyer
  3. Innocent defendant
  4. judge vs judge
  5. While you were sleeping
  6. Hyena
  7. Why Her
  8. Remember
  9. Your Honor
  10. Whisper
  11. N.K
Najikongoja nayo Good Partner drama,
uvivu na uchovu mwingi, majukumu ya watu nayo yanakula muda.
hakukosea yule aliyesema ukitaka kula sharti nawe uliwe.

Jang Nara amegoma kuzeeka hata akiwa kwenye muonekano wa makeup

Wivu wa kijinga
1725986053619.png
 
Romance in the house: drama nyengine ninayosukumana nayo kidogo kidogo. Si mbaya sana kwa kupotezea muda especially kwa hii couple ya malegend.
1725986522295.png
 
The Whirlwind: huu mpambano kati ya waziri mkuu na deputy wake unatamanisha, unaleta msisimko kwa kila sekunde ya episode hii.

Ni miezi miwili na takribani siku 15, hii drama bado nimeshindwa kuimaliza.
Ina episodes 12.
siasa ni mchezo wa shetani, kama wewe ni malaika ondoa mawazo ya kutamani nyadhifa za kisiasa.
1725986778728.png

============
hizo ndio drama 3 nilizobahatika na ninazoendelea kuziangalia kwa miezi ya karibuni.
 
kwa upande wa legal dramas nafikiri kituo cha SBS wapo katika dunia ya peke yao. Wamekuwa na muendelezo bora sana wa uzalishaji wa dramas zenye maudhui hayo ndani yake.
  1. Good partner
  2. one dollar lawyer
  3. Innocent defendant
  4. judge vs judge
  5. While you were sleeping
  6. Hyena
  7. Why Her
  8. Remember
  9. Your Honor
  10. Whisper
  11. N.K
Najikongoja nayo Good Partner drama,
uvivu na uchovu mwingi, majukumu ya watu nayo yanakula muda.
hakukosea yule aliyesema ukitaka kula sharti nawe uliwe.

Jang Nara amegoma kuzeeka hata akiwa kwenye muonekano wa makeup

Wivu wa kijinga
View attachment 3092651
Hivi good partner ni nzuri?
 
Back
Top Bottom