Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilikuwepo?Cha asubuhi wamepita nacho sio
Yah mpaka juzi nilikua natumiaKilikuwepo?
Kuanzia 5-8 mchakamchaka mpaka unahis uhamema juu mtazamaji,Nimeona imesifiwa Sana humu nikasema wacha nami nione.
Humo ndani mpaka sasa nimeishia sehemu ya 7 ni mchaka mchaka, Kuna midude humo inaitwa White Tigers si mchezo. Hii drama naona wametengeneza kwa ajili ya wahuni.
Huyu director ananikumbusha Miaka kadhaa nyuma nilishuhudia film iitwayo Assassin's Creed ambayo mtiririko wa matukio inafanana na hii drama yaani unahadithiwa miaka kadhaa nyuma then mnaendelea mlipo.
Nimependa zaidi
Kuna yule mwamba anakimbiza horse cab Kama Hana akili.
QUEEN WOO
Nimetazama had ep ya 9 safari wateja walikuwa wengi jamanNipo na jinny's kitchen season 2
Nilichopenda humo ndani vijana warembo ni wakuhesabu Sana, Ila mijitu yenye sura za kazi imejaa na Haina huruma.Kuanzia 5-8 mchakamchaka mpaka unahis uhamema juu mtazamaji,
Hope utakua ushaimaliza, nimependa alivyotoa speech ya kwenda kuliamsha yan unajihis moyo wa kupambana … Queen Woo katisha mle na ule ukati
Hizo ndio Legal dramas Bora nilizowahi kutazamakwa upande wa legal dramas nafikiri kituo cha SBS wapo katika dunia ya peke yao. Wamekuwa na muendelezo bora sana wa uzalishaji wa dramas zenye maudhui hayo ndani yake.
Najikongoja nayo Good Partner drama,
- Good partner
- one dollar lawyer
- Innocent defendant
- judge vs judge
- While you were sleeping
- Hyena
- Why Her
- Remember
- Your Honor
- Whisper
- N.K
uvivu na uchovu mwingi, majukumu ya watu nayo yanakula muda.
hakukosea yule aliyesema ukitaka kula sharti nawe uliwe.
Jang Nara amegoma kuzeeka hata akiwa kwenye muonekano wa makeup
Wivu wa kijinga
View attachment 3092651
Nimetazama had ep ya 9 safari wateja walikuwa wengi jaman
Hii sifutag nijaribishe kupika Maana wanatoaga recipes full
Hapo kwenye sura za kazi, umenikumbusha tambala la "Gwanggaetto the great" mule ndani wanyama kama akina Fengba, Murung Xi, Murong Bao, Ko Mu, Sagalae, Damdeok, General Hwang, Gyeong Su (kama waziri mkuu), Ko Un ... nk walikuwa ni wazee kwa kazi haswa, hakuna mrembo mule yaani hata wadada walikuwa ni namba chafu mule.Nilichopenda humo ndani vijana warembo ni wakuhesabu Sana, Ila mijitu yenye sura za kazi imejaa na Haina huruma.
mfalme pamoja na ushujaa wake kauwawa kirahisi, politics is not matter of personal bravery but the entire system.
nilichoona kifo Cha mfalme Ilikuwa ni kufungua mlango ili Kwini atambe.
Sizipendi on going drama, the first to watch was Goryeo Khitan Drama eniwei wacha tuisubiri.
OMOYOGWANE Unajua vitu vikali mkuu moja tu ndio sijaiona JUSTICE ikoje kwani?
- ADAMAS
- VOICE
- JUSTICE
- FLEX COP
Kuna moja inaitwa whisper ni kali mno itafuteK
Hizo ndio Legal dramas Bora nilizowahi kutazama
1. TheDevil Judge:
inahusu hakimu anayeitwa Kang Yo-Han (aliyechezwa na Ji Sung) ambaye anageuza mahakama kuwa kama TV show akiwahukumu watu waovu bila hurum
2. Extraordinary Attorney Woo
3. Innocent Defendant
4. Adamas ( Sina uhakika Sana)
5. While You were sleeping
Wakili geniusOMOYOGWANE Unajua vitu vikali mkuu moja tu ndio sijaiona JUSTICE ikoje kwani?
Ilianza vizuri ila episodes za katikati baada ya Dora kupoteza kumbukumbu zilikuwa za kipuuzi tuBeauty and Mr romantic family drama mbovu