Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Queen for Seven Days S01 (Complete) | Korean Drama

Queen Love and War S01 (Complete) | Korean Drama

Mr . Queen S01 (Complete) | Korean Drama

Shine or Go Crazy (Complete) | Korean Drama

Rookie Historian (Complete) | Korean Drama

Gu Family Book (Complete) | Korean Drama

Just typing

Nipo na suji and u ri family drama
 
Seoul busters drama:
kwa aliefurahia tamthilia ya One dollar lawyer si vibaya ikiwa atajaribu ladha hii.
si kila wakati tunatakiwa kuwa serious mpaka kwenye televisheni, tunahitaji ucheshi na ujinga ujinga ili maisha halisia yapate nguvu ya kusonga mbele hususani tunapopatwa na changamoto.
 
Kijana nipe drama nzuri yoyote ya aina yangu
 
Bloodhounds
Nimeshaiona au nipe yenye genre ya Romance isiwe ya kitoto sijui walikuwa wapenzi utotoni wakapoteana wakaja kukutana ukubwani hizo sizitaki au main characters wana ucomedi wa kujitoa akili hizo hapana nataka zile zenye matukio kiasi ambacho ikiisha episode moja unatamani kutazama inayofuata unakuta story imeshiba mfano mzuri ni kama fate&furious,Mask,dangerous wife,VIP, Secret love,The empress ki n.k isiwe ya fantansy
 
Song of the Bandits
 
Mjomba masharti kibao kama witch doctor 😃
 
Angalia kati ya hizi

Duel
Stranger - Hii utulize akili
Flower of Evil
Recalled
Beyond Evil
Voice

Hyo mizigo yote mikali. Kama uliikubali innocent defendant basi na hyo lazma uikubali.
Stranger 1 &2, flower of evil, beyond evil na voice zote nimeziona kwa kweli ni kali mno ngoja nizifuatilie hizo mbili duel na Recalled zinaonekana nazo zitakuwa kali, nilikuwa nawaza nitaangalia drama ipi baada ya stranger season 2 ndio ninaimaliza leo maana nyingi nimeziona Shukrani sana umenipa zakuanzia
 
Queen for Seven Days S01 (Complete) | Korean Drama

Queen Love and War S01 (Complete) | Korean Drama

Mr . Queen S01 (Complete) | Korean Drama

Shine or Go Crazy (Complete) | Korean Drama

Rookie Historian (Complete) | Korean Drama

Gu Family Book (Complete) | Korean Drama

Just typing

Nipo na suji and u ri family drama
Kama unapenda family drama umeicheki once again?
Drama nzuri mno
 
ONE ORDINARY DAY

Ni korean series ni nzuri sana ina jumla ya episodes 8 inahusiana na kijana mmoja ambaye anafanya kazi ya taxi wakati amemaliza muda wake wa kazi akiwa amepanga kwenda kwenye party ya marafiki zake kuna mteja mmoja ambaye ni mwanadada anataka kwenda mahali anajikuta hana jinsi na hela anahitaji anamchukua.

Wakati anampeleka wakiwa kwenye maongezi wanajikuta wanakuwa washikaji mpaka inapelekea yule dada kumpa mshikaji madawa ya kulevya aonje na mshikaji hajawahi kutumia lakini anajikuta naye anaonja, baadae demu anampeleka kijana kwenye ghetto lake na wanajikuta wanafanya mapenzi.Baada ya muda kijana anaenda kuoga baada ya mzangamuo anamuacha demu yupo kitandani alivyorudi baada ya kuoga anakuta demu ameuwawa kwa kuchomwa kisu na haijulikani aliyemuua ni nani? na kwasababu gani? Kijana ikabidi akimbie kuogopa msala wakati ameondoka anakumbuka amesahau ufunguo wa Taxi yake so inambidi arudi achukue so anafanikiwa kuchukua na pia ikafanya achukue hadi kisu kilichotumika kufanya mauaji baada ya kuondoka njiani anasimamishwa na traffic kwasababu alikuwa anaendesha gari kwa speed sana na wakati anasimamishwa kwa kosa hilo hapo hapo huyo traffic anapata taarifa kuwa kuna mauaji yamefanyika unadhani nini kitatokea? Hapa sasa ndio utamu wa series unaanzia don't miss it
 
Family dramas nazipenda mno hio ni nzuri nimeshaiona niliinjoi mpaka nikafatilia lead actor kwenye realities show alizoshiriki,jamaa ana vituko sana.
Kama unapenda family drama umeicheki once again?
Drama nzuri mno
 
Family dramas nazipenda mno hio ni nzuri nimeshaiona niliinjoi mpaka nikafatilia lead actor kwenye realities show alizoshiriki,jamaa ana vituko sana.
Mimi nimemfatilia yule dada dokta alieolewa na dokta
Nimempenda mrembo mwenyewe
Kumbe kaolewa na actor nae ana watoto 2
 
Movie: UPRISING
1729682615205.jpeg

Marks: 8/10
 
Back
Top Bottom