Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeona imesifiwa Sana humu nikasema wacha nami nione.
Humo ndani mpaka sasa nimeishia sehemu ya 7 ni mchaka mchaka, Kuna midude humo inaitwa White Tigers si mchezo. Hii drama naona wametengeneza kwa ajili ya wahuni.
Huyu director ananikumbusha Miaka kadhaa nyuma nilishuhudia film iitwayo Assassin's Creed ambayo mtiririko wa matukio inafanana na hii drama yaani unahadithiwa miaka kadhaa nyuma then mnaendelea mlipo.
Nimependa zaidi
Kuna yule mwamba anakimbiza horse cab Kama Hana akili.
QUEEN WOO
 
Kuanzia 5-8 mchakamchaka mpaka unahis uhamema juu mtazamaji,
Hope utakua ushaimaliza, nimependa alivyotoa speech ya kwenda kuliamsha yan unajihis moyo wa kupambana … Queen Woo katisha mle na ule ukati
 
Kuanzia 5-8 mchakamchaka mpaka unahis uhamema juu mtazamaji,
Hope utakua ushaimaliza, nimependa alivyotoa speech ya kwenda kuliamsha yan unajihis moyo wa kupambana … Queen Woo katisha mle na ule ukati
Nilichopenda humo ndani vijana warembo ni wakuhesabu Sana, Ila mijitu yenye sura za kazi imejaa na Haina huruma.
mfalme pamoja na ushujaa wake kauwawa kirahisi, politics is not matter of personal bravery but the entire system.
nilichoona kifo Cha mfalme Ilikuwa ni kufungua mlango ili Kwini atambe.

Sizipendi on going drama, the first to watch was Goryeo Khitan Drama eniwei wacha tuisubiri.
 
K
kwa upande wa legal dramas nafikiri kituo cha SBS wapo katika dunia ya peke yao. Wamekuwa na muendelezo bora sana wa uzalishaji wa dramas zenye maudhui hayo ndani yake.
  1. Good partner
  2. one dollar lawyer
  3. Innocent defendant
  4. judge vs judge
  5. While you were sleeping
  6. Hyena
  7. Why Her
  8. Remember
  9. Your Honor
  10. Whisper
  11. N.K
Najikongoja nayo Good Partner drama,
uvivu na uchovu mwingi, majukumu ya watu nayo yanakula muda.
hakukosea yule aliyesema ukitaka kula sharti nawe uliwe.

Jang Nara amegoma kuzeeka hata akiwa kwenye muonekano wa makeup

Wivu wa kijinga
View attachment 3092651
Hizo ndio Legal dramas Bora nilizowahi kutazama
1. TheDevil Judge:
inahusu hakimu anayeitwa Kang Yo-Han (aliyechezwa na Ji Sung) ambaye anageuza mahakama kuwa kama TV show akiwahukumu watu waovu bila hurum

2. Extraordinary Attorney Woo
3. Innocent Defendant
4. Adamas ( Sina uhakika Sana)
5. While You were sleeping
 
Nadhani Ilikuwa 2020 January
Ambapo DAEMUSHIN alitoa hints kuhusu kazi hii Kisha nami nikaifuatilia.
Nadhani katika financial drama bado sijaona ya kuisogelea hii. Hawa jamaa walivaa uhusika was wataalam wa masuala ya fedha, uchumi na siasa Kama vile ni taaluma yao.
Money Game. Imejikita katika ulimwengu wa fedha na siasa, kuchunguza mapambano ya madaraka na changamoto za kimaadili wanazokabiliwa wale walio katika sekta ya fedha.

Drama hii inahusu kundi la watu wanaofanya kazi katika Tume ya Huduma za Kifedha ambao wanajaribu kuzuia mgogoro wa kifedha kama ule uliotokea mwaka 1997, S. Korea, Indonesia, Malaysia na kusambaa Asia yote. Eniwei

Hii drama nzuri kujifunza financial & Political economics

OIP.jpeg
 
Na safari hii wamepika sana nyama. Intern kachapa kazi kubwa japo nipo episode ya pili
Nimetazama had ep ya 9 safari wateja walikuwa wengi jaman
Hii sifutag nijaribishe kupika Maana wanatoaga recipes full
 
Nilichopenda humo ndani vijana warembo ni wakuhesabu Sana, Ila mijitu yenye sura za kazi imejaa na Haina huruma.
mfalme pamoja na ushujaa wake kauwawa kirahisi, politics is not matter of personal bravery but the entire system.
nilichoona kifo Cha mfalme Ilikuwa ni kufungua mlango ili Kwini atambe.

Sizipendi on going drama, the first to watch was Goryeo Khitan Drama eniwei wacha tuisubiri.
Hapo kwenye sura za kazi, umenikumbusha tambala la "Gwanggaetto the great" mule ndani wanyama kama akina Fengba, Murung Xi, Murong Bao, Ko Mu, Sagalae, Damdeok, General Hwang, Gyeong Su (kama waziri mkuu), Ko Un ... nk walikuwa ni wazee kwa kazi haswa, hakuna mrembo mule yaani hata wadada walikuwa ni namba chafu mule.
 
Back
Top Bottom