Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] jamani amejua kunikomesha kamtu kakijua kanapendwa bwana.
[emoji23] [emoji23] af huyu sio sponsor bhana huyu oppa. Kama hujui tofauti ya sponsor na oppa muulize Nifah maana hata mimi sijui [emoji125] [emoji125]
 
Aisee!Ni kali kinoma.In short nimeipenda bure japo sijawahi kuiona
 
Aigooooo
 
Kuna jackpot utakutana na Yi In Jwa ,Baek Dae Gil na wengineo ipo vizuri kwa wanaopenda za kimwonekano wa kifalme
 
Wadau naomba kuuliza ni app gani nzur naweza kuitumia kuangalia Series kama hwarang, the rebel, six flying dragon na the great queen Seo deok msaada tafadhari
 
wadau kama kuna mtu ameangalia seoson ya GLASS MASK anipe feedback..... nasikia watu wanaisifia kua ni nzuri.
 
ila ni vizuri zaidi kama utaimalizia na IRIS 2.
IRIS 2 at Dramanice
baada ya kumaliza IRIS 1 ndio ilikuja Athena baadae ikaja IRIS 2 ila zote zilikuwa chini ya usimamizi wa kampuni ya Taewon entertainment
Mkuu kama unaifaham hii series nijulishe tafadhal na jina lake in English.
 
Mkuu kama unaifaham hii series nijulishe tafadhal na jina lake in English.
inaitwa THE FUGITIVE OF JOSEON(the mandate of heaven)
inazungumzia maisha ya daktari choi won ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye jumba la kifalme,ila baadae alishutumiwa kama alihusika katika mpango wa kumuekea sumu mfalme Injong jambo ambalo lilimpelekea awe ni mtuhumiwa na kuamua kukimbia(fugitive) pamoja na binti yake ambaye alijulikana kwa jina la choi rang.

starring
lee dong wook =choi won
song ji hyo =hong da in
kim yoo bin =choi rang

nakuomba radhi kwa kuchelewa kukujibu kwa sababu sijatembelea hapa kwa wiki moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…