Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi iko motoWakuu kuna series inaitwa SWEET HOME nataka nidownload hapa kwa mlioiona mnasemaje niichukue au miyeyusho
Season 1 nimeiona ni nzuri ila season zinazofuata 2 &3 watu wanasema sio nzuri binafsi bado sijaziona.Wakuu kuna series inaitwa SWEET HOME nataka nidownload hapa kwa mlioiona mnasemaje niichukue au miyeyusho
Sawa nitaijaribuSeason 1 nimeiona ni nzuri ila season zinazofuata 2 &3 watu wanasema sio nzuri binafsi bado sijaziona.
Huyu jamaa kwenye Vincenzo kanikosha sana aisee.Song Joong Ki , nimeanza kumcheki na kumkubali kwenye Arthdal Chronicles season 1 , nikamcheki tena kwenye Tree with deep root nikamfollow kwenye Vicenzo na Descendant mwamba anajua sana akiamua awe mtu siriaz ni siriaz hawswa na akiamaua awe mtu jokes ndio penyewe tena zile serious jokes .
Kama mtu anajua nyingine Kali ya jamaa anipe jina nikaisake.View attachment 3179525
Sijui kwanini nilishindwa kuimaliza hii drama "Vincenzo"Huyu jamaa kwenye Vincenzo kanikosha sana aisee.
Mkuu fanya uimalize hutojutia muda wako.Sijui kwanini nilishindwa kuimaliza hii drama "Vincenzo"
sijawa na uhakika ilaDramacool siku za Karibuni mpka Leo bado hawasomeki , haifanyi kazi.
Kama unapenda maudhui ya kizombie, inakufaaWakuu nani kaiona Kingdom. Is it worthy kuiangalia ? naona ina season 2.
Noma humu ni mwendo wa mazombi ya kaleWakuu nani kaiona Kingdom. Is it worthy kuiangalia ? naona ina season 2.View attachment 3189469