Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakuu kuna series inaitwa SWEET HOME nataka nidownload hapa kwa mlioiona mnasemaje niichukue au miyeyusho
 
Dramacool siku za Karibuni mpka Leo bado hawasomeki , haifanyi kazi.
 
Song Joong Ki , nimeanza kumcheki na kumkubali kwenye Arthdal Chronicles season 1 , nikamcheki tena kwenye Tree with deep root nikamfollow kwenye Vicenzo na Descendant mwamba anajua sana akiamua awe mtu siriaz ni siriaz hawswa na akiamaua awe mtu jokes ndio penyewe tena zile serious jokes .

Kama mtu anajua nyingine Kali ya jamaa anipe jina nikaisake.
 
Huyu jamaa kwenye Vincenzo kanikosha sana aisee.
 
Habari ya wakati huu ndugu zanguni.
Nimerejea tena. Nimepitia wakati mgumu sana tangu nije ulimwenguni baada ya kuondokewa na mama yangu mzazi. Lakini Mungu ndiye mfariji mpaka dakika hii.

Nahitaji recommendation ya comedy na historical.
I'm the Miracle worker of Han River ( General Park Chung Hee)
 
Iron family inanivusha salama kipindi hiki cha sikukuu japo ni ongoing drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…