Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nkiri na kimoitv zipo quality safi kabisa tatizo matangazo ukiwa na bando la kawaida. Yanapungua kidogo kwenye vpn na wi-fi
- Itabidi familia iweke mchango tukutafutie japo desktop la karne ya 19.
- adui mkubwa ni video convertor, itachukua muda kuzipeleka Mp4
- website zenye format ya MP4 ni kama zinapotea kwa kasi
Ninayo jamani, jana nimeifanyia kazi series moja kama majaribio na imekubali.
Tatizo limebaki kwenye video quality tu, hata 480 kwangu bado ni ndogo sana.