Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Taxi Driver 3 drama confirmed.
Here we Go
1738924439854.jpeg
 
Websites zimepigwa pin nateseka mno, imebidi nikubali yaishe nirudi kwenye channel yetu Telegram ndio nachukulia huko. Ila kwenye TV kuangalia 360 jau kinoma, nimezoea 1080 sijui itakuwaje!

Wakati naanzisha hii Channel ilikuwa kwa mapenzi mema kwa ndugu zetu wasioweza kudownload kupitia websites ila leo hii imenifaa mimi mwenyewe.

Asante sana DAEMUSHIN unafanya kazi nzuri.
 
Habari yako
naomba link ya hiyo channel
 
Drama zilizopo kwenye mfumo wa MKV hazikubali kwenye TV Namdongsaeng, tufikirie na sisi.
  • Itabidi familia iweke mchango tukutafutie japo desktop la karne ya 19.
  • adui mkubwa ni video convertor, itachukua muda kuzipeleka Mp4
  • website zenye format ya MP4 ni kama zinapotea kwa kasi
 
Ninayo jamani, jana nimeifanyia kazi series moja kama majaribio na imekubali.

Tatizo limebaki kwenye video quality tu, hata 480 kwangu bado ni ndogo sana.
 
Back
Top Bottom