Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji173][emoji173]
nampenda sana huyu kaka...
naomba list ya drama alizocheza tofauti na THE HEIRS,BOYS OVER FLOWER na LEGEND OF THE BLUE SEA
City hunter, personal taste,faith ...hizi ndo nlizoangalia mbali na hizo ulizotaja
 
❤❤
nampenda sana huyu kaka...
naomba list ya drama alizocheza tofauti na THE HEIRS,BOYS OVER FLOWER na LEGEND OF THE BLUE SEA
city gangster ,teacher sam,city hunter

naomba msaada jinsi ya kuzidownload mana nimechoka ztazama online na nimehangaika namna ya kuzishusha meshindwa.msaada plyz
 
Tafuta google application inaitwa dramania ni nzuri ina Korean movie za kila aina
city gangster ,teacher sam,city hunter

naomba msaada jinsi ya kuzidownload mana nimechoka ztazama online na nimehangaika namna ya kuzishusha meshindwa.msaada plyz
 
Mkuu ni nzuri ama
 
Jamani jinsi ya kudownload drama za kikolea zilizotafsiliwa kiswahili msaada ndungu zangu
 
HAhaha nzuri sana hadi najilaumu kwann nilimaliza kuiangalia mapema. Kila sehemu inautamu wake
Daaah hii ni shidaa nimeirudiarudia mpaka naweza kumsimulia mtu tukio baada ya tukio [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…