Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mwaka huu niko slow kidogo, nime angalia vyuma kidogo tu.

Nime rudia hallo season 2,
world of honor Ina ep 50
journey to love ep 40.
jack Ryan season 4
squid game season 2
Jack the jackal
Ingenious one
swordman

List ya pending ni kubwa sana😂🤣
Ukisahavurugwa unamaliza zote mwezi mmoja kaka hushindwi
 
N
Hii Iko poa sana ase. Episodes mbili za mwanzo ziko vizuri
Nimeingia kwenye mtego ambao mara nyingi sana huwa naukwepa, "On going series". Mamba ya kusubiri episodes mbili kwa week huwa yananikata sana.
 
Mkuu hebu nipe vigongo vya wachina vyenye mkono wa kufa mtu na wapi web gani naweza vipata
Mkuu kwanza nime furahi kuona Kuna shabiki pia wa vigongo vya kichina, haya list hii hapa.

Sasa una taka u stream au download?, ku download Kuna drama cool, asian tv, kiss asian.

stream hitv, youku, drama cool, kiss asian.

* Joy of life s1 &2.
*Sword snow stride (same actors, wachache hawamo from jf).
*Nirvana in fire.
*Laughing in the wind.
*Princess agents.
*sword dynasty
*Swordman
*the four

GITWA niendelee?
 
Namba 1,2 na tatu nilishaziona hizo zinazofuata nazianzia kazi leo. Nashukuru sana ongeza list maana wakorea siku hizi wameelekea sana kwenye mapenzi bila action za nguvu. Kwa sasa napumzikia kwa wachina.
 
season 2 ya joy of life Umesha maliza?, Kama tayari Anza nirvana in fire.

princess agents au sword dynasty ni shida.
Hizo Zina kutosha uki maliza nita jua Ume iva.
 
Back
Top Bottom