Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wahuni wamemkalia vibaya bwana Kim Soo Hyun, sijui kama atachomoka.

Endelea kupumzika kwa amani binti mdogo Kim sae ron.

mfungo mwema kwa wajukuu wa ABRAHAMU
 
Wahuni wamemkalia vibaya bwana Kim Soo Hyun, sijui kama atachomoka.

Endelea kupumzika kwa amani binti mdogo Kim sae ron.

mfungo mwema kwa wajukuu wa ABRAHAMU
Naona wana mlazimisha aseme ali date na binti sae Ron akiwa na miaka 15.

Japo gold medalist wame thibitisha sio kweli binti hakuwa mdogo.

Sema hizi acting industry za asia Zina mambo mengi, GITWA bai lu una mjua?
 
Aisee hii Iko web gani? Maana niliino web moja hivi nikaanza kuiangalia ep ya 2 wakakata wanataka nilipie, ikikupendeza niwekee link
Hii naangalia YouTube mzee, vile vyuma nilivyo kupa ume angalia hata 1.

maana nataka kukupa chuma kikali, na chenye nyimbo nzuri.
 
kilingeni

DRAMA:
  1. Love scout - 2025
  2. The queen who crowns - 2025
  3. The trauma code heroes - 2025
  4. Gu family book - 2014
  5. Squid game 2 - 2024
  6. Dongjae the good or the bastard - 2024
  7. buried hearts - 2025 going on
  8. Undercover high school - 2025 going on
  9. The art of negotiation - 2025 going on
MOVIE:
  1. The prosecutor (2025) - donnie yen mwenyewe
  2. once upon a time in Shanghai (2014) - watu wanatwangana ngumi mpaka usingizini. Inaonekana janga la matumizi ya opium nchini china lilikuwa ni kubwa sana kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…