Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahaha mwanzon nilichukia uigizaj ule ila baadae nikapenda hasa alivyoigiza genious. Kuna yong pal kaigiza vizuri kweli
Bado sijaziona.shukran kwa kuniongezea list ntazitafuta
Nilikua nairudia rudia descendant of the sun kisha nipo na beautiful gong shim na nyingine inaitwa Pinocchio
Mie ile good doctor alikua ananiuzi alivyoigiza.

Saiv naangalia Suspicious Partner nataka niianze na my sassy girl. Umeziona?
 
Pinocchio nliangalia muda.
Wakorea kila siku wanatoa vitu vipya yaani mpaka una changanyikiwa
 
Na huwa hawakosei kila movie na utamu wake
Pinocchio nliangalia muda.
Wakorea kila siku wanatoa vitu vipya yaani mpaka una changanyikiwa
Afadhali maana nilipopeleka mbele ndo nikachanganya mafile nikaitupilia huko. Ntaitafuta tena niiangalie

Hahaa katabia ka wengi hako.
Hakamatwi mpaka inaisha. Mwenzio nikiwa na mashaka hivyo napelekega mbele halafu narudisha nilipokuwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sung Dong-il namkubali sana huyu mzee hajawahi kosea kwny uigizaji wke kwny Chuno The Slave hunter ndo kaua zaidi Cheon Jihoooo
Yupo na kwenye legend of the blue sea. Kaigiza mjini na kijijini na meno yake kama hajawahi kuswaki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakamatwi mpaka inaisha. Mwenzio nikiwa na mashaka hivyo napelekega mbele halafu narudisha nilipokuwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daah mimi huu mtindo siupendi [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa unabaki unaangalia nini wakati mwisho unaujua? Yaani mimi hata ikitokea mtu akaniambia hii movie mwishoni itaisha hivi....baaas keshanivuruga na hamu ya kuangalia yote inanitoka
 
Bora yako. Hizi tamthilia za kwenye tv huwa zinanitesa natamanig nipeleke mbele ndo hivyo tena rimoti haisaidii
Daah mimi huu mtindo siupendi [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa unabaki unaangalia nini wakati mwisho unaujua? Yaani mimi hata ikitokea mtu akaniambia hii movie mwishoni itaisha hivi....baaas keshanivuruga na hamu ya kuangalia yote inanitoka
 
Movie nnazojilazimisha kuangalia
King 2 heats
My girlfriend is gumiho ( hapa Nifah ndo kasababisha[emoji23] [emoji23] )
Inspiring generation
Yaani najilazimisha kuziangalia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…