Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sikiliza hii ya kibongo usiku huu ila usimwambie Selikavu achana na wachina

View: https://youtu.be/7cgJEmA9UK4?feature=shared

My favorite comrade, lala unono 😊
Screenshot_20250619-224324_1.jpg
 
Wachina walikupa nini Comrade?
Mimi siwapendi wanavyoongea
Ongea yao + Mapigano yao yamejaa ukatuni mwingi. Chumvi inakuwa nyingi mno halafu hawavai uhalisia wakifanyacho. Katika pambano zito, huoni jasho, facial seriousness, hata sauti zinakuwa kama zimepachikwa.
 
Nili taka nikae kimya, maana hata genre ya movie za kichina Ina wezekana huijui.

Kuna xuanhuan, xianxia, wuxia, historical. Modern.
Ina depend na uli angalia kitu gani mkuu.

Una sema seriousness cruel romance, arrow on the bow string, woman in the family of swordman ni nini 🙄

Huku mtu achie tu maana hampajui🤣😂. GITWA
 
You nailed it. Unatakiwa kuangalia maudhui ya movies/series kabla ya kuingalia wale wachina wana varieties nyingi sana kiasi kuwa hata mtoto mdogo anapata kitu kinachomfurahisha na mtu mzima wa ngumi jiwe nae kuna vitu vyake.

Kuhusu uzungumzaji wao ni vile mtu hujawazoea hata mie mwanzo wakorea walikuwa wananichanganya na uzungumzaji wao ila baada ya kuangalia Jumong mwanzo mwisho niliwazoe na hata kwa wachina ni hivyo hivyo.

Nisiseme mengi mwisho wa siku kila mtu na taste yake ila linapokuja suala la movies/series napenda kuangalia kitu kinachosisimua ubongo wangu haijarishi ni project ya taifa gani
 
Nili taka nikae kimya, maana hata genre ya movie za kichina Ina wezekana huijui.

Kuna xuanhuan, xianxia, wuxia, historical. Modern.
Ina depend na uli angalia kitu gani mkuu.

Una sema seriousness cruel romance, arrow on the bow string, woman in the family of swordman ni nini 🙄

Huku mtu achie tu maana hampajui🤣😂. GITWA
Possible ipo angle wanafanya vizuri, ila kwa bahati mbaya Mimi napendelea historical drama, huko ndiko nionako kuwa wanachemka sana!
 
Unge uliza uka pewa recommendations. Wengi huwa waki zikuruopukia wana ingia chaka.

Hata mimi Kuna genre za kichina au kikorea sipendelei.

Kuhusu kufanya vizuri, sokoni wana uza sana sio ndani worldwide.
 
Nilianza kuangalia Kdrama pasipo recommendation yoyote, nikafall in love nazo. Chinese mpaka siwezi kuzikumbuka majina, kila nikiforce holaaa. Mpaka sasa sijafikisha hata 10 tangu nianze kufuatilia Korean na Chinese 2012.

Iko hivyo tu labda maana, kila shetani na mbuyu wake, maada kama bado nawaona kama wahindi waliochangamka.
 
Mimi napiga kichina, kihindi, ki philiphino, ki Kajapani, ki Korea, kiufupi napiga nyingi
 
Back
Top Bottom