gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wamme nipa ambacho napata kwako comrade😁😂, beside wana jua sana.Wachina walikupa nini Comrade?
Mimi siwapendi wanavyoongea
Wamme nipa ambacho napata kwako comrade😁😂, beside wana jua sana.
Jaribu kusikiliza asubui
My favorite comrade, lala unono 😊Sikiliza hii ya kibongo usiku huu ila usimwambie Selikavu achana na wachina
View: https://youtu.be/7cgJEmA9UK4?feature=shared
Rais hilo song kwenye Bang Bang limenyooka sana.My favorite comrade, lala unono 😊
View attachment 3376268
Nikupe recommendation?Nimepata arosto ya kuangalia Kdrama za vijijini, huwa napenda sana concipiracies zilizomo mule ndani. Shida ni kwamba nyingi za moto nilishaziangalia tayari na hizi za sasa zimekula laini laini sana.
Ongea yao + Mapigano yao yamejaa ukatuni mwingi. Chumvi inakuwa nyingi mno halafu hawavai uhalisia wakifanyacho. Katika pambano zito, huoni jasho, facial seriousness, hata sauti zinakuwa kama zimepachikwa.Wachina walikupa nini Comrade?
Mimi siwapendi wanavyoongea
Umeelizea kwa uzuri sana mkuu!!Ongea yao + Mapigano yao yamejaa ukatuni mwingi. Chumvi inakuwa nyingi mno halafu hawavai uhalisia wakifanyacho. Katika pambano zito, huoni jasho, facial seriousness, hata sauti zinakuwa kama zimepachikwa.
Nili taka nikae kimya, maana hata genre ya movie za kichina Ina wezekana huijui.Ongea yao + Mapigano yao yamejaa ukatuni mwingi. Chumvi inakuwa nyingi mno halafu hawavai uhalisia wakifanyacho. Katika pambano zito, huoni jasho, facial seriousness, hata sauti zinakuwa kama zimepachikwa.
Kweli hii when the stars gossip sijawahi kuielewa kabisa niliishia episode ya 2 tuNani anaangalia The first night with the duke? 👌
Huu mwaka tulianza drama mbaya mbaya kama when the stars gossip,so far May na june tunaenda vizuri
You nailed it. Unatakiwa kuangalia maudhui ya movies/series kabla ya kuingalia wale wachina wana varieties nyingi sana kiasi kuwa hata mtoto mdogo anapata kitu kinachomfurahisha na mtu mzima wa ngumi jiwe nae kuna vitu vyake.Nili taka nikae kimya, maana hata genre ya movie za kichina Ina wezekana huijui.
Kuna xuanhuan, xianxia, wuxia, historical. Modern.
Ina depend na uli angalia kitu gani mkuu.
Una sema seriousness cruel romance, arrow on the bow string, woman in the family of swordman ni nini 🙄
Huku mtu achie tu maana hampajui🤣😂. GITWA
Possible ipo angle wanafanya vizuri, ila kwa bahati mbaya Mimi napendelea historical drama, huko ndiko nionako kuwa wanachemka sana!Nili taka nikae kimya, maana hata genre ya movie za kichina Ina wezekana huijui.
Kuna xuanhuan, xianxia, wuxia, historical. Modern.
Ina depend na uli angalia kitu gani mkuu.
Una sema seriousness cruel romance, arrow on the bow string, woman in the family of swordman ni nini 🙄
Huku mtu achie tu maana hampajui🤣😂. GITWA
Kweli hii when the stars gossip sijawahi kuielewa kabisa niliishia episode ya 2 tu
Unge uliza uka pewa recommendations. Wengi huwa waki zikuruopukia wana ingia chaka.Possible ipo angle wanafanya vizuri, ila kwa bahati mbaya Mimi napendelea historical drama, huko ndiko nionako kuwa wanachemka sana!
Nilianza kuangalia Kdrama pasipo recommendation yoyote, nikafall in love nazo. Chinese mpaka siwezi kuzikumbuka majina, kila nikiforce holaaa. Mpaka sasa sijafikisha hata 10 tangu nianze kufuatilia Korean na Chinese 2012.Unge uliza uka pewa recommendations. Wengi huwa waki zikuruopukia wana ingia chaka.
Hata mimi Kuna genre za kichina au kikorea sipendelei.
Kuhusu kufanya vizuri, sokoni wana uza sana sio ndani worldwide.
Mimi napiga kichina, kihindi, ki philiphino, ki Kajapani, ki Korea, kiufupi napiga nyingiNilianza kuangalia Kdrama pasipo recommendation yoyote, nikafall in love nazo. Chinese mpaka siwezi kuzikumbuka majina, kila nikiforce holaaa. Mpaka sasa sijafikisha hata 10 tangu nianze kufuatilia Korean na Chinese 2012.
Iko hivyo tu labda maana, kila shetani na mbuyu wake, maada kama bado nawaona kama wahindi waliochangamka.
Mlinzi hiyo unakesha nayo😂Nime Anza kuangalia the side story of fox violant, Ina ep 40.