Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii kwani inahusiana na kumtroll comrade wako ? 😂
Joanah
Hii ni nini kikongwe owner 😁 🦅
Screenshot_20250729-192052_1.jpg
 
🤣🤣🤣Kheeh wap tena na sidhan kama nimewai kukutana nae kwenye anga zake maana Efootball hajagi kule na mimi ndo ninankoshinda😃😃😃
Nyie verified member mmeenda PM na kukataliwa sasahivi mnafanya kudislike post zake 😂

Turudi kwenye penzi zito la troll na comrade 😂
 
Razorblade na Selikavu mnaupiga mwingi sana kwenye haya mahojiano kuhusu uzi wa least favorite 😂😂
Hata mimi ule uzi ulinichanganya aisee ila kwa vile siyo mpenzi wa kucomment kwenye kila uzi nikawa nimetulia.

Mara paap nikakutana na tag ya mkubwa na wanawe Intelligent businessman nikacheka kidogo halafu nikawa nafatilia wewe na yeye tu 😂
 
Nilivyoona tag yake mwanzo kabisa wa uzi nikajiuliza kweli huyu Intelligent businessman nimemkosea nini? 😂
Baadae nikaelewa wengi hawakuelewa uzi unataka nini

Na bahati mbaya mwanzilishi wa uzi alitoa option wa watu kutiririka bila yeye kutoa mfano 🤣
 
Back
Top Bottom