Nikutumie screen shootHee mi mgeni kwanza sijawahi kuiona
Nipe habar za Song il Gook namkubali Sana huyo Jumongheri ya kuzaliwa muigizaji lee byung hun ambaye ametimiza miaka 47 siku ya (12/7)
na ameandika maneno yafuatayo kwenye account yake ya weibo
"Thank you fans and staff members for making my birthday, just an ordinary day, year after year, to become something so special. I really like to thank you. Through everyone's blessings, I spent a happy day!"
Saengil chukhahamnida = happy birthday to you
Saengil chukhahamnida =happy birthday to you
Saranghaneun (lee byung hun-i/sshi) = happy birthday dear lee byung hun
Saengil chukhahamnida = happy birthday to you
Nishaichek hyo jamaa yupo vzurKama hujaiangalia The moon that embraces the sun itafute. Huyu kijana ni nyoko sana teh hivi nimetukana eeh?
'
Ichek hyo kitu n hatareeMkuu nimedownload Episode moja tu aisee ninzur. Mwanzo tu unakutana na vita ya kufa mtu. Sio mwendelezo wa Jumong kwel, maana naona baadhi ya washiriki walikuwepo pia kwenye Jumong.
Ni kweli? Mimi huwa naona mara nyingi hawafiNishaichek hyo jamaa yupo vzur
Alaf me kuna kitu huwa kinanishangaza kwenye acting zao most of series sio zote main actor/actress huwa anakufaga
Au ndo ile starring akifa ndo picha imeisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha,Hutaki Kuweka Wazi Eeeehhhh!!!Hee mi mgeni kwanza sijawahi kuiona
Hahaa huyu mtoto kanikomalia...kuna watu wako kwenye huu uzi tunaheshimiana kupita maelezo ye kakomaa nimsimulie Frozen Flower inahuu...Hahahaha,Hutaki Kuweka Wazi Eeeehhhh!!!
Nimekumisiheri ya kuzaliwa muigizaji lee byung hun ambaye ametimiza miaka 47 siku ya (12/7)
na ameandika maneno yafuatayo kwenye account yake ya weibo
"Thank you fans and staff members for making my birthday, just an ordinary day, year after year, to become something so special. I really like to thank you. Through everyone's blessings, I spent a happy day!"
Saengil chukhahamnida = happy birthday to you
Saengil chukhahamnida =happy birthday to you
Saranghaneun (lee byung hun-i/sshi) = happy birthday dear lee byung hun
Saengil chukhahamnida = happy birthday to you
Ata Mi Mwenyewe Nilitaka Unisimuulie Ata Kwa JUU JUU TUH!Hahaa huyu mtoto kanikomalia...kuna watu wako kwenye huu uzi tunaheshimiana kupita maelezo ye kakomaa nimsimulie Frozen Flower inahuu...
Pole mkuu mimi niliangalia kidoogo youtubeIyo Frozen Flower Kuna Site Nimeitafuta Sema Aina Sub,Site Nyengine Inagoma....
Uko Youtube Nako Uwaga Sipatagi Zile Ladha Zenyewe Uwaga Wanazichakachua Sana...Pole mkuu mimi niliangalia kidoogo youtube
Movie yenyewe ile sijui ina part ngapi mi nakumbuka niliangalia moja tu kama sio mbiliAta Mi Mwenyewe Nilitaka Unisimuulie Ata Kwa JUU JUU TUH!
Ila utapata walau 'aidia' ya kile kinachozungumzwa na wadau hapaUko Youtube Nako Uwaga Sipatagi Zile Ladha Zenyewe Uwaga Wanazichakachua Sana...
N kwel nmesema sio zote ukichek zile za mujin mujin huwa hakunaga ila zle za kijijin ndo nyng mf ile empress Ki au bichunoo/dance in the skyNi kweli? Mimi huwa naona mara nyingi hawafi
Kwenye Drama Fire Nimeona Ina part 2, MYASIAN Ina Part Moja ila ina 2hrs,Na ni Movie Sio Drama right???Movie yenyewe ile sijui ina part ngapi mi nakumbuka niliangalia moja tu kama sio mbili
Nenda Dramanice.comIyo Frozen Flower Kuna Site Nimeitafuta Sema Aina Sub,Site Nyengine Inagoma....
Ina part moja tu,ila ndefu ina masaa 2:12:20 ukubwa wake ukiwa Dramanice.com ni 1.45GMovie yenyewe ile sijui ina part ngapi mi nakumbuka niliangalia moja tu kama sio mbili
Mpe na onyo asiiangalizie sebuleni au akiwa na mtu yeyote wanaeheshimiana...Ina part moja tu,ila ndefu ina masaa 2:12:20 ukubwa wake ukiwa Dramanice.com ni 1.45G