Yule actress mara ya kwanza nimemuona kwenye movie ya jumong nikawa namkubali kweli. ..lakini baada ya hio movie kila nikimuona kwenye movie yoyote anaigiza kiheshima heshima lazima niipige chini hio movie...aliniboa kwel kwelNilifata Ushauri Wako Mkuu Nimeiangalia Peke Yangu,Ila Sikuona Ulazima Wakuweka Zile Scene Pale Sijuhi Ata Walichokimaanisha, Yule Actress Wazazi Wake Sijuhi Walikuwa Awapo!! Maana Si Kwa Unaked Ule....
Pesa and Fame, Unafanya Watu Wanazisaliti Utu Zao...Yule actress mara ya kwanza nimemuona kwenye movie ya jumong nikawa namkubali kweli. ..lakini baada ya hio movie kila nikimuona kwenye movie yoyote anaigiza kiheshima heshima lazima niipige chini hio movie...aliniboa kwel kwel
Post sent using JamiiForums mobile app
Watu Walivyokuwa Wanaizungumzia Umu Nikajua Labda tuh ni Swaga Za Watu, Lakini Baada ya kuitazama Iliniacha Mdomo Wazi Na Mwisho Sikuona Ata Maana Yake ...Yule actress mara ya kwanza nimemuona kwenye movie ya jumong nikawa namkubali kweli. ..lakini baada ya hio movie kila nikimuona kwenye movie yoyote anaigiza kiheshima heshima lazima niipige chini hio movie...aliniboa kwel kwel
Post sent using JamiiForums mobile app
Wachina hao siyo wakorea haoVipi kuhusu The Vengeance,The field knife,The leader na The Victory.Ni hatari.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna huyo Actor unaemuona hapo kwenye picha alipotelewa wapi Kwenye hiyo series ya King Gwaggaeto. Nakumbuka Mara ya mwisho nilimuona pale kilipo tokea kifo cha Prince Dammang alipo kuwa akiwafukuza wale walio sababisha kifo chake,tokea hapo sijamuona tena mpaka sasa nipo Episode ya 50. Yaani sijaelewa nn kilitokea kwake mpaka kushidwa kuonekana tena, Kama unafaham nifahamishe basi.Inahusu empire ya Goguryeo ambayo ilikuwa imelack power dhid ya tawala nyngn kama Baekje
Huyo king ndo alkuja kurestore power upya ya goguryeo
director aliamua ku written off uhusika wa KIM JUNG HYUN kama dolbisu kwa sababu alipata ofa ya kuigiza kwenye televsheni ya MBC kama main character kwenye drama inayoitwa DANGEROUS WOMANMkuu kuna huyo Actor unaemuona hapo kwenye picha alipotelewa wapi Kwenye hiyo series ya King Gwaggaeto. Nakumbuka Mara ya mwisho nilimuona pale kilipo tokea kifo cha Prince Dammang alipo kuwa akiwafukuza wale walio sababisha kifo chake,tokea hapo sijamuona tena mpaka sasa nipo Episode ya 50. Yaani sijaelewa nn kilitokea kwake mpaka kushidwa kuonekana tena, Kama unafaham nifahamishe basi.
Alifanya sio poa kabisadirector aliamua ku written off uhusika wa KIM JUNG HYUN kama dolbisu kwa sababu alipata ofa ya kuigiza kwenye televsheni ya MBC kama main character kwenye drama inayoitwa DANGEROUS WOMAN
Inahusu nini hii numbisa??Ukimaliza uitafute descendant of the sun nzuri sana
Vip kuhusu huyu mzee, mm sikumwelewa kabisa maongez yake. Nisaidie hapo alikuwa spy au nnAlifanya sio poa kabisa
Ni kama zile za kizamani mfano wa Jumong au za kisasa kama akina Iris??Bado aijaisha Ila Mpka Apo ilipofikia, Naweza kusema aina Mapigano Sana ila Ina Mtiririko Mzuri wa Stori na Ina Mahaba Yasiyo ya juu sana,Mahaba yale yanayokufanya Uguswe Moyoni,
Ila ni Story inayowakutanisha ndugu wawili waliochangia Baba, Baba yao ni Mkuu wa nchi ila baada ya kifo chake aliacha wosia Kwenye Mwili wa Mwanamke ambaye bado ajafaamika ni Yupi,Na uo wosia ulikuwa unaelezea kuwa yule Mtoto Mdogo kati ya wale wawili ndo aje arithi kiti chake,Ila Mambo yalienda tofauti Na Visasi Vinaanza kwa yule Mkubwa Pamoja na wapambe wake Kumuwinda yule Mdogo kwa Nia ya Kumuua, Iyo ni kwa kifupi kwa Mengi Yaliyomo Umo, Nachokuahidi autajutia Bando Lako na Utapata full Package...Lakin kama Ni Mpenzi wa DRAMA Izo...
Hii movie si ile Go Stop?Vip kuhusu huyu mzee, mm sikumwelewa kabisa maongez yake. Nisaidie hapo alikuwa spy au nn
Ni ya Kizamani au kwa Umaarufu Zinaitwa Za KijijiniNi kama zile za kizamani mfano wa Jumong au za kisasa kama akina Iris??
Uko Mbele ndo hatari, Imefika Patamu Sa Ivi,Yeon Woo Jin Ni Balaatokea nianze kuiangalia queen for seven days mpaka hapa nilipofikia episode ya 4 itabaki kuwa ni bora kwa mtazamo wangu.vile vitoto ni balaa.nimeiweka kiporo naangalia Hwarang kwa sababu niliiacha muda mrefu