Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nilifata Ushauri Wako Mkuu Nimeiangalia Peke Yangu,Ila Sikuona Ulazima Wakuweka Zile Scene Pale Sijuhi Ata Walichokimaanisha, Yule Actress Wazazi Wake Sijuhi Walikuwa Awapo!! Maana Si Kwa Unaked Ule....
Yule actress mara ya kwanza nimemuona kwenye movie ya jumong nikawa namkubali kweli. ..lakini baada ya hio movie kila nikimuona kwenye movie yoyote anaigiza kiheshima heshima lazima niipige chini hio movie...aliniboa kwel kwel

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Pesa and Fame, Unafanya Watu Wanazisaliti Utu Zao...
 
Yule actress mara ya kwanza nimemuona kwenye movie ya jumong nikawa namkubali kweli. ..lakini baada ya hio movie kila nikimuona kwenye movie yoyote anaigiza kiheshima heshima lazima niipige chini hio movie...aliniboa kwel kwel

Post sent using JamiiForums mobile app
Watu Walivyokuwa Wanaizungumzia Umu Nikajua Labda tuh ni Swaga Za Watu, Lakini Baada ya kuitazama Iliniacha Mdomo Wazi Na Mwisho Sikuona Ata Maana Yake ...
 
Inahusu empire ya Goguryeo ambayo ilikuwa imelack power dhid ya tawala nyngn kama Baekje
Huyo king ndo alkuja kurestore power upya ya goguryeo
Mkuu kuna huyo Actor unaemuona hapo kwenye picha alipotelewa wapi Kwenye hiyo series ya King Gwaggaeto. Nakumbuka Mara ya mwisho nilimuona pale kilipo tokea kifo cha Prince Dammang alipo kuwa akiwafukuza wale walio sababisha kifo chake,tokea hapo sijamuona tena mpaka sasa nipo Episode ya 50. Yaani sijaelewa nn kilitokea kwake mpaka kushidwa kuonekana tena, Kama unafaham nifahamishe basi.
1b9c73976b4dac9436e3cd8f6f322273.jpg
 
director aliamua ku written off uhusika wa KIM JUNG HYUN kama dolbisu kwa sababu alipata ofa ya kuigiza kwenye televsheni ya MBC kama main character kwenye drama inayoitwa DANGEROUS WOMAN
Dangerous-Woman-Wallpaper-2.jpg
 
Alifanya sio poa kabisa
 
Bado aijaisha Ila Mpka Apo ilipofikia, Naweza kusema aina Mapigano Sana ila Ina Mtiririko Mzuri wa Stori na Ina Mahaba Yasiyo ya juu sana,Mahaba yale yanayokufanya Uguswe Moyoni,
Ila ni Story inayowakutanisha ndugu wawili waliochangia Baba, Baba yao ni Mkuu wa nchi ila baada ya kifo chake aliacha wosia Kwenye Mwili wa Mwanamke ambaye bado ajafaamika ni Yupi,Na uo wosia ulikuwa unaelezea kuwa yule Mtoto Mdogo kati ya wale wawili ndo aje arithi kiti chake,Ila Mambo yalienda tofauti Na Visasi Vinaanza kwa yule Mkubwa Pamoja na wapambe wake Kumuwinda yule Mdogo kwa Nia ya Kumuua, Iyo ni kwa kifupi kwa Mengi Yaliyomo Umo, Nachokuahidi autajutia Bando Lako na Utapata full Package...Lakin kama Ni Mpenzi wa DRAMA Izo...
Ni kama zile za kizamani mfano wa Jumong au za kisasa kama akina Iris??
 
tokea nianze kuiangalia queen for seven days mpaka hapa nilipofikia episode ya 4 itabaki kuwa ni bora kwa mtazamo wangu.vile vitoto ni balaa.nimeiweka kiporo naangalia Hwarang kwa sababu niliiacha muda mrefu
sevendayqueen03-00237.jpg
Uko Mbele ndo hatari, Imefika Patamu Sa Ivi,Yeon Woo Jin Ni Balaa
 
Back
Top Bottom