Ipi Iyo Mkuu? Mbona UjaitajaTafuta hii movie ya kikorea si ya season but inabonge la story na action alafu ni very thrilling
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Unaenda Utanitaarifu Nikusindikize, Nami Nikawaona Mabae Zangu..Aisee nitaenda kuoa Korea si kwa uzur ule walio nao
Inaitwa ``I SAW THE DEVIL" ni hatari kwa waliona wanajua ninacho semaIpi Iyo Mkuu? Mbona Ujaitaja
Anhaa! Poa Nitaitafutaga ,Ila Pia Nimependa DP YakoInaitwa ``I SAW THE DEVIL" ni hatari kwa waliona wanajua ninacho sema
Sent using Jamii Forums mobile app
You are welcomeAnhaa! Poa Nitaitafutaga ,Ila Pia Nimependa DP Yako
Ngoja niisake mkuuInaitwa ``I SAW THE DEVIL" ni hatari kwa waliona wanajua ninacho sema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeipataInaitwa ``I SAW THE DEVIL" ni hatari kwa waliona wanajua ninacho sema
Sent using Jamii Forums mobile app
KING GWANGGAETO ya mda sana mkuu tangu 2011Mbona muvi yangu ninayoangalia sa hv hamtajii? Hahah au ya zamani hii inaitwa King gwanggaeto ina kisa kizuri.
Dae Jo Yong pia nmeishia njian ila iko bomba sana
Emperor of the sea
Land of the wind
Jumong.
Salute urabonyi(brother)
Uzuri wao hawa jamaa HISTORICAL DRAMA ZAO zinahusu historia ya kweli licha ya kwamba kuna mambo wana exaggerating.unapokuta historical drama ujue mara nyingi story yake si fictionHyo Empress ki baba ni shidaaaa.....alaf hyo drama imetokana na stor ya kweli...japo kuna mambo wameingizia...
Wale watoto ni wazuri sana usoni lakini tatizo bana hawana maumbo mazuri unakuta demi sura nzuri lakn huon pakushkia bana no hips no msambwanda yaani duuAisee nitaenda kuoa Korea si kwa uzur ule walio nao
Hyo muvi ni ya mauaji na kuna strong scenes yaani.huwezi amini kama wame-act yaani hii movie hata Hollywood hawajafikia kiwango kama cha hawa jamaa,it is the best movieMkuu nimeipatanaona kuna raia katoa angalizo Kama una moyo dhaifu usiicheki Kwan VP mkuu inahusu nn
Nenda YouTube itafute course ipo full movie na katika high quality,naomba ukiiangalia uje unipe mrejesho.au hata uki-download ni.vizuri nakupa tena angalizo its veri thrilling movieMkuu nimeipatanaona kuna raia katoa angalizo Kama una moyo dhaifu usiicheki Kwan VP mkuu inahusu nn
Poa mkuu nitadownload kesho nikijaliwa ila ningeomba unijulishe series ama Movie za Korea ulizoangalia zilizo bomba ili na mm nizitafuteNenda YouTube itafute course ipo full movie na katika high quality,naomba ukiiangalia uje unipe mrejesho.au hata uki-download ni.vizuri nakupa tena angalizo its veri thrilling movie
Sent using Jamii Forums mobile app
Empress si WaJapan auUzuri wao hawa jamaa HISTORICAL DRAMA ZAO zinahusu historia ya kweli licha ya kwamba kuna mambo wana exaggerating.unapokuta historical drama ujue mara nyingi story yake si fiction
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe na ww hilo tatizo umeliona? Ila wana nyonyo nzuri.Wale watoto ni wazuri sana usoni lakini tatizo bana hawana maumbo mazuri unakuta demi sura nzuri lakn huon pakushkia bana no hips no msambwanda yaani duu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete maelezo mazur mkuu ukisema tuachane na huo mziki tutaelewa nn sasa. Twambie inahusu nn na utupe kwa kifupi ikoje