Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

images
images

Love isn't always about what you can see..... Often it's about what you can't
 
Hyo Empress ki baba ni shidaaaa.....alaf hyo drama imetokana na stor ya kweli...japo kuna mambo wameingizia...
Uzuri wao hawa jamaa HISTORICAL DRAMA ZAO zinahusu historia ya kweli licha ya kwamba kuna mambo wana exaggerating.unapokuta historical drama ujue mara nyingi story yake si fiction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeipata
367e002c66b07a9271547cfdf12ab3fc.jpg
naona kuna raia katoa angalizo Kama una moyo dhaifu usiicheki Kwan VP mkuu inahusu nn
cdee9fb32d57322e010f04aa86bbf8bb.jpg
Nenda YouTube itafute course ipo full movie na katika high quality,naomba ukiiangalia uje unipe mrejesho.au hata uki-download ni.vizuri nakupa tena angalizo its veri thrilling movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda YouTube itafute course ipo full movie na katika high quality,naomba ukiiangalia uje unipe mrejesho.au hata uki-download ni.vizuri nakupa tena angalizo its veri thrilling movie

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu nitadownload kesho nikijaliwa ila ningeomba unijulishe series ama Movie za Korea ulizoangalia zilizo bomba ili na mm nizitafute
 
Back
Top Bottom