Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mbona muvi yangu ninayoangalia sa hv hamtajii? Hahah au ya zamani hii inaitwa King gwanggaeto ina kisa kizuri.

Dae Jo Yong pia nmeishia njian ila iko bomba sana

Emperor of the sea

Land of the wind

Jumong.

Salute urabonyi(brother)
 
Duuuh....hv mkorea anawezaje kuwa na story mingi namna hii....
 
Back
Top Bottom