Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Tumia Dramanice.com iko poa pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia Dramanice.com iko poa pia
mkuu kuelezea sina hicho kipaji, ila itafute then urudishe mrejesho mkuu, kuna vichapo mfululizo, bonge moja la historical dramaLete maelezo mazur mkuu ukisema tuachane na huo mziki tutaelewa nn sasa. Twambie inahusu nn na utupe kwa kifupi ikoje
Japo kwa ufupi tu tujue inahusu nn sasamkuu kuelezea sina hicho kipaji, ila itafute then urudishe mrejesho mkuu, kuna vichapo mfululizo, bonge moja la historical drama
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimejaribu kuifungua naona inaniletea form ya mashtakaTumia Dramanice.com iko poa pia
Jaribu kissasian.
Ni Historical Drama Inayohusu Mapinduzi Ya Jaseon Dynasty,Na Katika Ayo Mapinduzi Kulikuwa Na Team Kuu Yenye Mjumuuisho Wa Watu Sita Akiwa Muhusika Mkuu Wa Aya Mapinduzi Ni Lee Bang Won( Yoo Ah In), Kutoka Katika Mikono Ya Wadhurumaji Na Wanaoenda Tofauti Na Matakwa Ya Wananchi..Iyo Ni Kwa Kifupi Ila Ni Nzuri a k a ChecheJapo kwa ufupi tu tujue inahusu nn sasa
Yes Mkuu defendant nishadownload ndio nimeanza kushusha episodes zangu kdg kdg IPO vzr sana ..nikimalza nitakuja hiyo glass maskdefendant,glass mask
Six flying dragonsJapo kwa ufupi tu tujue inahusu nn sasa
Six flying dragons
2016/2017
Ep#50
Historical drama
Kwakfup hii drama imejarbu kuelezea jinsi JOSEON DYNASTY iliyoanzishwa hasa ikimgusia 3rd King of joseon KING SEJONG (Lee bang-won) alivyomsaidia baba yake KING TAEJO kuanzisha joseon pia
Drama pia imegusia best swordmen kadhaa hivi ambao wamesumbua sana kwenye hii Series ambaon
1.lee bang-ji/Ddang saw
![]()
2.gil tae-mil
![]()
3.moo hyul
![]()
4.gil sun-mil
![]()
5.cheok sa-gwang
![]()
Baadhi ya scene ambazo huwa nimetokea kuzipenda n hz
1.episode #18
2.
3.
4.
Six flying dragons
2016/2017
Ep#50
Historical drama
Kwakfup hii drama imejarbu kuelezea jinsi JOSEON DYNASTY iliyoanzishwa hasa ikimgusia 3rd King of joseon KING SEJONG (Lee bang-won) alivyomsaidia baba yake KING TAEJO kuanzisha joseon pia
Drama pia imegusia best swordmen kadhaa hivi ambao wamesumbua sana kwenye hii Series ambaon
1.lee bang-ji/Ddang saw
![]()
2.gil tae-mil
![]()
3.moo hyul
![]()
4.gil sun-mil
![]()
5.cheok sa-gwang
![]()
Baadhi ya scene ambazo huwa nimetokea kuzipenda n hz
1.episode #18
2.
3.
4.
Kwahiyo unanishauri niitafute, sito juta ama?Nilimkubali Sana Mo Hyul, Hii Drama Nilikuaga Naangalia Na Dogo Langu Mmoja Ivi Yaani Mpka Leo Umwambia Kitu Kwa Moo Hyul,Ila Lee Bangi Ji Kacheza Sana Umu Ndani...Dooohh Nimejikuta Nawakumbuka Etiii
Yaah Autojutia...Ina Mtiririko Mzurii Sana,...Sema Uzuri Wa Korea Ndo UoKwahiyo unanishauri niitafute, sito juta ama?
Historical Drama mm ndio uniambii kituNi Historical Drama Inayohusu Mapinduzi Ya Jaseon Dynasty,Na Katika Ayo Mapinduzi Kulikuwa Na Team Kuu Yenye Mjumuuisho Wa Watu Sita Akiwa Muhusika Mkuu Wa Aya Mapinduzi Ni Lee Bang Won( Yoo Ah In), Kutoka Katika Mikono Ya Wadhurumaji Na Wanaoenda Tofauti Na Matakwa Ya Wananchi..Iyo Ni Kwa Kifupi Ila Ni Nzuri a k a Cheche
Basi Iendee Iyo Iko Poa...Historical Drama mm ndio uniambii kitu
Yeah! Land of the wind tayar mkuu Kwan vpYaah Autojutia...Ina Mtiririko Mzurii Sana,...Sema Uzuri Wa Korea Ndo Uo
Ulishawahi Iona The Land of Wind?
Hahahaha,Na We Ubovu wako MsambwandaWale watoto ni wazuri sana usoni lakini tatizo bana hawana maumbo mazuri unakuta demi sura nzuri lakn huon pakushkia bana no hips no msambwanda yaani duu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua Bado Ujaitazama!Yeah! Land of the wind tayar mkuu Kwan vp
Mkuu sasa mbona hukuniambia toka zamani, wakat nilikwambia unijulishe Historical Drama za Korea zilizo poa ili nizitafuteYaah Autojutia...Ina Mtiririko Mzurii Sana,...Sema Uzuri Wa Korea Ndo Uo
Ulishawahi Iona The Land of Wind?
Hahahaaaa mm Song IL Gook ndio Actor nae mkubali itakuwaje nisicheki mishe zakeNilijua Bado Ujaitazama!
Hmmmmm! Pole Nilikosa Nafasi Na Nilijua Utakuwa Ushaziona Sababu Mi sijaziona Nyingi Sana..Mkuu sasa mbona hukuniambia toka zamani, wakat nilikwambia unijulishe Historical Drama za Korea zilizo poa ili nizitafute