Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


WHILE YOU WHERE SLEEPING Upcoming SBS DRAMA....Binti Mwenye Sauti Yake a k a Wifi Wa Century...Mi Ost Zake Tuh Asa Ile Ya Kwenye Gu Famili Book, Ajacheze Drama Ivi Karibuni tangu kwenye Uncontrollably fond...So Tumsubirire Umu Ndani Pamoja Na Bae Wa Park Shin Hye (Inavyosemekana) au Mzee Wa W....Can't Wait Damushin Unaona Jinsi Awa Watu Wanavyonifanya Wakati Nilishaahidi Kuwa Sitoangalia Izo Mambo Kwa Muda Ila Naona Tayari Naanza Kuisubiria Hii Tena..Lol!!
 
''People tell me to take care of my face while I am defending the country, but I won’t listen to that carefully. The country must be protected,” he said with a laugh
 
noona aminas huwa najaribu kuikimbia hii thread tokea juzi ili niendelee kutokuwa na mzuka wa kuangalia korean drama lakini nashindwa. kwani bado haijaanza
Hahahahah,Nakuona Tuh Unavyopita Juu Juu Sa Nami Inabidi Nikuite Maana Naona Alerts Uzioni..(Joking)
Bado Aijaanza...Ila Nahisi Aipo Mbali...Uko Poa Lakini Mkuu?
 
noona aminas huwa najaribu kuikimbia hii thread tokea juzi ili niendelee kutokuwa na mzuka wa kuangalia korean drama lakini nashindwa. kwani bado haijaanza
Inasemekana Kwenye Sept Ivi Ndo wataanza Kuonyesha Labda Wabadirishe
 

Aliulizwa Kuna Watu Wanapenda Macho Yako Unawaambia Nini Kuhusu Hilo,Akajibu '' Wanaweza Wakayapata ata Zaidi Ya Aya Kama Wakienda kwa Plastic Surgeon Lakini Ayatafanana Sawa Na Yangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…