Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Hii ni kwa laptop tu au hata kwa simu maana mimi ndo nautumia sa hivi episodes hazipungui 300mb.Mkuu tumia hiyo hiyo dramamice ila kabla ujadownload akikisha unabadilisha quality weka 300 pale chini kulia na kama unatumia idm itakupa option ya kudownload quality unayotaka.
Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwa kila drama nayodownload
Mkuu tumia hiyo hiyo dramamice ila kabla ujadownload akikisha unabadilisha quality weka 300 pale chini kulia na kama unatumia idm itakupa option ya kudownload quality unayotaka.
Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwak
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent From Guest House