Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii ni kwa laptop tu au hata kwa simu maana mimi ndo nautumia sa hivi episodes hazipungui 300mb.

Sent From Guest House
 
Uku Mbele Ndo Usiseme,Ila ukimaliza Iyo Naomba Ungana Nami Kwenye The King Love Pleez,Coz Iyo wiki Hii Ya kesho ndo Inaisha ..Kwaiyo Tuungane Na Utamu Wa hii Nyengine
Basi kati ya Leo au kesho nitanza kuicheki The King Love nilikuwa naiona jinsi episode zinavyo ongezwa tu nahisi ipo episode ya 12

G.O.M.D
 
Basi kati ya Leo au kesho nitanza kuicheki The King Love nilikuwa naiona jinsi episode zinavyo ongezwa tu nahisi ipo episode ya 12

G.O.M.D
Karibu,Ipo Episode ya 12 kwa 6,Kwa Sasa Ivi Wameamua Kufupisha Wanaonyesha Dakika 30 then Inakuja Kuonyeshwa Tena Dakika 28 au 29 kwaiyo kwa siku moja Vinaonyesha Vipande Viwili ambayo Ni Inakuwa Episode 1 na 2 kwa 1..
 

Ni Hotel Ilochaguliwa Kwa Ajili ya Tukio Kama Sio la Kitaifa Basi la Kimataifa na Dunia Nzima Kwa Ujumla la Wanandoa Watarajiwa Ambao ni Waigizaji Wakubwa Na Maarufu Nchini Korea Wanaofahamika Kwa a.k.a Yao Ya SongSong Couple Inayotarajiwa kufanyika Mwishoni mwa Mwenzi wa Kumi (Inshaallah)
Ni Habari Ilowapa Morali Mashabiki wa Couple Hii Ata kufikia Kitendo cha baadhi ya Mashabiki Kuweka Booking Ya MaLazi kwenye Hotel Hiyo Ili Tuuh Waweza Shuhudia Tukio Ilo...(la Dunia)..


Ni Hotel Inayomilikiwa na Samsung Group Yenye Ushawishi Mkubwa Sana Nchini Korea,
Kama Muonavyo Izo Picha Zinavutia Sana




Tunawatakia Maandalizi Mema Ya Harusi Yao Na Mola Pia Awasimamie..(Jamiikdramaforum)
 
Mbona Kama nyumba za zamani zile za kina jumong
 
Mbona Kama nyumba za zamani zile za kina jumong
Yah Ndo Hotel iyo au Ndo Manzari Yake,Wakolea ni Jamii Inayoheshimu Sana Culture yao,Nahisi Huwa Awataki Ipoteee Kizazi kwa Kizazi...So Apo utakuta Wengine Wapenda Izo Nyumba Tuuh
Sababu Inasemekana Ni Hotel Ambayo Ina Ushawishi Sana Ndani na Nje ya Korea...So Lazima Vitu kama Ivyo vya Kitamaduni viwekwe
 
Noona pia nawe ubarikiwe, mchango wako ni mkubwa sana kwangu na hata kwa wadau wengine.
Vipi umeshapata mualiko wa kuhudhuria harusi ya Song couples itakayofanyika kwenye hotel ya silla ?
Thanks Mkuuu,Hahahahaha Mualiko Bado Ndo Naufatilia APA...Nahisi we ushapata!
 
Noona pia nawe ubarikiwe, mchango wako ni mkubwa sana kwangu na hata kwa wadau wengine.
Vipi umeshapata mualiko wa kuhudhuria harusi ya Song couples itakayofanyika kwenye hotel ya silla ?
Silla ya king Gwanggaeto Ama????
 
Kwa Iyo Apo Zinakuwa Zinaenda Kwa Mtiririko Ama?

Maana Kati Ya Izo Zote Mi Nishaiona Jumong nikaja the land of wind Ambapo apa Niliona Kabisa Kuwa Ilikuwa Ni Inaendelea Nikaiona Pia Na Emperor of the sea,Lakini sikuwa Na Jua Kuwa Kuna Ichi Kitu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…