Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu tumia hiyo hiyo dramamice ila kabla ujadownload akikisha unabadilisha quality weka 300 pale chini kulia na kama unatumia idm itakupa option ya kudownload quality unayotaka.

Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwa kila drama nayodownload

Mkuu tumia hiyo hiyo dramamice ila kabla ujadownload akikisha unabadilisha quality weka 300 pale chini kulia na kama unatumia idm itakupa option ya kudownload quality unayotaka.

Me nashusha mizigo humo size inacheza 160Mb hadi 220Mb kwak

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kwa laptop tu au hata kwa simu maana mimi ndo nautumia sa hivi episodes hazipungui 300mb.

Sent From Guest House
 
Uku Mbele Ndo Usiseme,Ila ukimaliza Iyo Naomba Ungana Nami Kwenye The King Love Pleez,Coz Iyo wiki Hii Ya kesho ndo Inaisha ..Kwaiyo Tuungane Na Utamu Wa hii Nyengine
Basi kati ya Leo au kesho nitanza kuicheki The King Love nilikuwa naiona jinsi episode zinavyo ongezwa tu nahisi ipo episode ya 12

G.O.M.D
 
Basi kati ya Leo au kesho nitanza kuicheki The King Love nilikuwa naiona jinsi episode zinavyo ongezwa tu nahisi ipo episode ya 12

G.O.M.D
Karibu,Ipo Episode ya 12 kwa 6,Kwa Sasa Ivi Wameamua Kufupisha Wanaonyesha Dakika 30 then Inakuja Kuonyeshwa Tena Dakika 28 au 29 kwaiyo kwa siku moja Vinaonyesha Vipande Viwili ambayo Ni Inakuwa Episode 1 na 2 kwa 1..
 
20664443_10213931928522330_1315141139169455060_n.jpg

Ni Hotel Ilochaguliwa Kwa Ajili ya Tukio Kama Sio la Kitaifa Basi la Kimataifa na Dunia Nzima Kwa Ujumla la Wanandoa Watarajiwa Ambao ni Waigizaji Wakubwa Na Maarufu Nchini Korea Wanaofahamika Kwa a.k.a Yao Ya SongSong Couple Inayotarajiwa kufanyika Mwishoni mwa Mwenzi wa Kumi (Inshaallah)
Ni Habari Ilowapa Morali Mashabiki wa Couple Hii Ata kufikia Kitendo cha baadhi ya Mashabiki Kuweka Booking Ya MaLazi kwenye Hotel Hiyo Ili Tuuh Waweza Shuhudia Tukio Ilo...(la Dunia)..
20621037_10213931928882339_6776905690507118383_n.jpg

20637816_10213931927402302_7506523842662589166_n.jpg

Ni Hotel Inayomilikiwa na Samsung Group Yenye Ushawishi Mkubwa Sana Nchini Korea,
Kama Muonavyo Izo Picha Zinavutia Sana
20637816_10213931927402302_7506523842662589166_n.jpg

20621270_10213931926682284_3062569565164702226_n.jpg

20708412_10213931926202272_4636706075273210991_n.jpg

2017-08-07_06-28-08-800x534.jpg

Tunawatakia Maandalizi Mema Ya Harusi Yao Na Mola Pia Awasimamie..(Jamiikdramaforum)
 
Mbona Kama nyumba za zamani zile za kina jumong
 
Mbona Kama nyumba za zamani zile za kina jumong
Yah Ndo Hotel iyo au Ndo Manzari Yake,Wakolea ni Jamii Inayoheshimu Sana Culture yao,Nahisi Huwa Awataki Ipoteee Kizazi kwa Kizazi...So Apo utakuta Wengine Wapenda Izo Nyumba Tuuh
Sababu Inasemekana Ni Hotel Ambayo Ina Ushawishi Sana Ndani na Nje ya Korea...So Lazima Vitu kama Ivyo vya Kitamaduni viwekwe
 
Noona pia nawe ubarikiwe, mchango wako ni mkubwa sana kwangu na hata kwa wadau wengine.
Vipi umeshapata mualiko wa kuhudhuria harusi ya Song couples itakayofanyika kwenye hotel ya silla ?
Thanks Mkuuu,Hahahahaha Mualiko Bado Ndo Naufatilia APA...Nahisi we ushapata!
 
Noona pia nawe ubarikiwe, mchango wako ni mkubwa sana kwangu na hata kwa wadau wengine.
Vipi umeshapata mualiko wa kuhudhuria harusi ya Song couples itakayofanyika kwenye hotel ya silla ?
Silla ya king Gwanggaeto Ama????
 
Noona inaonekana ni mgeni sana wa historical drama zinazozungumzia three kingdom kabla ya kuzaliwa taifa la GORYEO na JOSEON.
kwanza kulikuwa na taifa la GOGURYEO:
hadi sasa ni drama 8 tu ndio zimeigizwa ambazo zinazungumzia mambo yaliyotokezea kwenye tawala za goguryeo ambazo ni:-
  1. jumong
  2. kingdom of the wind
  3. princess jamyung
  4. yeon gaesomun
  5. sword and flower
  6. king daejo young
  7. king gwanggaetto (the great)
baadae kulizaliwa taifa la baekje na drama zinazozungumzia mambo yaliyotokezea kwenye utawala wa baekje ni:
  1. king geunchogo
  2. gye baek
  3. ballad of seodong
  4. the kings daughter
pia kulikuwa na taifa la silla na mpaka sasa drama zilizoigizwa zinazozungumzia taifa la silla ni:
  1. queen seondeok
  2. hwarang
  3. emperor of the sea
  4. the great kings dream
Kwa Iyo Apo Zinakuwa Zinaenda Kwa Mtiririko Ama?

Maana Kati Ya Izo Zote Mi Nishaiona Jumong nikaja the land of wind Ambapo apa Niliona Kabisa Kuwa Ilikuwa Ni Inaendelea Nikaiona Pia Na Emperor of the sea,Lakini sikuwa Na Jua Kuwa Kuna Ichi Kitu..
 
Back
Top Bottom