Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!



Jaman huyu mkuu kapotelea wapi
2limuomba a2pe maelezo vizuri lakn ha2on majibu
A2me hata kwa screenshots

Sent using Jamii Forums mobile app
 


He Still Looking Good ata Akiwa na Kipara.......Hizi ni picha zilizopigwa akiwa anaingia Jeshini Rasmi..

Aigoooo....Lee Seung Gi Rudi Basi lol!
 
Damushin Nilikuwa Nimekosa Nafasi ya kuangalia REBEL THIEF WHO STOLE THE PEOPLE,Ila Now Nimeanza Kuangalia Baada Ya
kusikia Inahusiana Na 7DQ, Japo Ni Historical Story Ya Hil-Dong Lakini Pia Inamgusa Na King Yeonsan ambaye Inakuja Kuwa Muendelezo Kwenye 7DQ, Umo Kwenye 7DQ Uyo King Yeonsan ni Yung Brother wa Yeok....

Now Naanza kupata Picha Ya Hizi Korean Historical Drama...Daebak!!
 


Hii Series inastory nzur
Story yake ya ukweli ina mhusu HONG GILDONG JEON tatzo lake wamezngua saana Series kias fulan imekosa uhalisia
Huwezi kutuambia eti King na jeshi lake lote washindwe na kijeshi kidogo hohehahe kama kile cha YOON GYUN-SANG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuona dogo aliye cheza kwenye six flying dragons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…