Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

niliianza episode 2 tu.
 
Kiukweli Series inakuchukua kimawazo hata chozi linaweza kukutoka
Unakumbuka baba yake GIL DONG mzee HONG AMOGAE alipokuwa anawekea watoto wake akiba dili likaja kugundulika na jamaa anaemiliki ikabidi akili2 zile pesa zote zilikua ni kwaajili ya slave master wake

Yaani kama umeangalia Series za kikorea utagumbua kuwa walikua na UTUMWA WAAJABU tena wakutisha huu uliokuja Africa ni kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Kiukweli ni kati ya drama Ambazo Machozi yananitoka Mpaka Najishangaa Kwa Nini Nalia Ivyo Sijuhi na Stress za Magu Nazo Zinachangia Maana Si kwa Kulia Ivyi..
Kwenye Hiyo Scene Nililia Na Ah Mo Gae Pale Alipopiga Magoti Anawaelezea Izo Mali Zilipo Alafu Kimoyo Anajisemeea Kuwa Ameangaika Kutafuta Izo Zote kwa Ajili ya Wanae Ili wasijekuwa kama Yeye, Dahh! Apa Machozi Yalinitoka Tena Ya Kimya Kimya..

Na Pale alipoenda Kumzika Mke Wake Uku Kambeba Mwenyewe Mgongoni na wale watoto Walivyokuwa Wanalia..Ainshhh!! Baada ya Kumzika Akarudi Tena Na Pombe ili Anywe Nae Na Kumuamsha Arudi Kamkumbuka,Dooohhh!!

Machozi Tuuhh Yamenitoka...
 
Nasikia kuna drama kali inaitwa master ruler naona kaiona wakuu ili niianze maana nishamaliza six flying dragon leo nahitaji nyingine kali zaidi.

Sent From Heaven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…