Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nasikia kuna drama kali inaitwa master ruler naona kaiona wakuu ili niianze maana nishamaliza six flying dragon leo nahitaji nyingine kali zaidi.

Sent From Heaven
SERIES ambazo zinaenda na Six FLYING DRAGONS ama zenye story zinazofanania au mwendelezo wake n hz
1.tree with deep root

2.jang young sip

3.the great King sejong

4.jeong do jeon

5.the great seer

Na nyinginezo nakumbuka hz
 
We Jamaaa Sikuweza kukuwazia Ivi Daebak, You're Ma Sunbae kabisi hizi drama Sijawahi ziona ila zipo kwenye Kabati langu Siku nikipata time ntaanza kuzicheki
Ila Kuna website Moja nilishawahi Ipitia nikakutana na hizi Mambo Na Nilivyozisoma kule Dooh Sa Nimekuja kupata Uakika kwako Mkuuu, Lol!
 
Namuona mzee wa six flying dragons.

Vp mkuu ikoje
 
AMBAYE BADO HAJAANGALIA "TREE WITH DEEP ROOTS" NAMSHAULI AITAFUTE.....NI NZURI KUPITA NNAVOWEZA KUIELEZEA...SAIZI NAIRUDIA KWA MARA YA TATU MAANA HAICHOSHI KUANGALIA..THE BEST THING KTK HII MOVIE NI KWAMBA HUWEZ UKAPREDICT NINI KITATOKEA AMBALO LIMEKUA TATIZO LA SERIES NYINGI YAANI UKIANZA TU UNAJUA KABISA ITAISHA VIPI HAD INACHOSHA KUMALIZIA...ITAFUTE
 
Mara Nyingi Huu uchafu Wao huwa wanafanya kwenye Movie,Kwenye Drama Nahisi Wanazuiliwa...
 
Watatu Wewe Naskia Kuhusu Hiii Drama...
 

Yule mwalimu kwenye 6flying[emoji236] sambong (jeon do jeon) hyo Series hapo ndo inamwelezea napata kuamini yule ticha alikua noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi Drama Kwangu Mimi Naona Kama Bado hivi Japo Nimeimaliza yte ni kama Sikuielewa Vizuri Labda Sababu ya Actors Zake au Sijuh nini, Ila ni Nzuri
Mimi nilicho ipendea EPISODE Zina dakika chache
Lakini hata baadhi ya ACTORS wake walishacheza drama zilizofanya vizuri
Kuna huyu dogo


Kama utakua umeangalia THE GREAT QUEEN SEONDEOK yule dogo mwenye futna ana2mia sana akili kungombansha wa2 kim chun-chu
Character yake 2meiona hata kwenye Gye-baek na king's dream
Nyingine alizocheza ni ile WARRIOR BAEK DONG SOO, na King and I

Kuna huyu mzee
Tulimuona kwenye WARRIOR BAEK DONG SOO yule mzee aliyekuwa mzembe mzembe aliyekatwaga mkono na sword saint akaja kujilipua mwishoni

Kuna huyu demu

Ndo yule soo yeon kwenye IRIS 2 na goblin pia kacheza
 
Namuona mzee wa six flying dragons.

Vp mkuu ikoje
Ipo vizuri ila kuna king mshenzi sana yana jamaa kubwa zima linanyonya kwa mama yake jamaa limelipa kisasi vibaya sana kwa wale ambaye walim dethrone uQueen mama yake hadi wale waliobeba sumu yani
Huyo king mshenzi yaan never seen before

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado mmoja ili wafike watano alafu niifuatilie, mi kuna mmoja aliniambia huku kuwa ni nzuri ngoja nimsubili huyo mmoja
Muda Mwengine Aya Maandishi yetu yanatufanya tuchukuliane Tofauti Sana,Bila Kujali Sisi Ni watu wa aina Gani! Unavyoviandikaga Huwa Vinanifanya Ni Smile Tuuh, Sijajua Kiuhalisia.....

Ila Ua Guud Dear...

Uyo Mmoja Ni Mimi, Nenda kazitafute Izo Zote Alizozitaja Arthurtz na Nimekulipa Lile Deni Lako La Kuzitaka Historical Drama Zisizokuwa Na Mapenzi......Hahahahahahah....Subuhi Njema
 
Kwa Uzuri Ni Nzuri Ndomana Niliangalia Mpaka Mwisho Ila Uyo Wa Juuu Apo Naona Kama Aliact Utoto Sana Ni Analia Sana Banah Mpka Anazingua...

Uyo Mzee Kiukweli Mi Ni Kati ya wale wazee waigizaji Ninao wakubari sana na Kwenye Role Yake Amecheza Vizuri Sana Tuuh Kwa Wanao Angalia SCHOOL 2017 Wataniambia Mule ndan Ameact Poa

Na Uyu Kim So Hyun Nilianza Kumsikia Kabla ata sijaiona Kazi Zake Alizofanya Hii Ndio Drama Yake Ya Kwanza Niloiona Ila Amedisapoint Kidogo Sijuhi Sababu Ya Role Yake Au Sijuhi Ni Nini ila, Awa Main Lead walikuwa Na Utoto Vile
Mi Niliwapenda wale second Lead Kiukweli Na wamecheza Vizuri tuuh ...
 
Aigooooo unajua yale ya kule naandikaga wanakwambia ishi kutokana na mazingira ndio maana nikifika hapa nakuwa pilton. Endelea kusmile maana hakuna namna eti.

Aigooooo ngoja niandae mpunga, Hahahahahahahahahaahah ww unapenda mapenz
 
Aigooooo unajua yale ya kule naandikaga wanakwambia ishi kutokana na mazingira ndio maana nikifika hapa nakuwa pilton. Endelea kusmile maana hakuna namna eti.

Aigooooo ngoja niandae mpunga, Hahahahahahahahahaahah ww unapenda mapenz
We Unapenda Ngumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…