Mimi nilicho ipendea EPISODE Zina dakika chache
Lakini hata baadhi ya ACTORS wake walishacheza drama zilizofanya vizuri
Kuna huyu dogo
Kama utakua umeangalia THE GREAT QUEEN SEONDEOK yule dogo mwenye futna ana2mia sana akili kungombansha wa2 kim chun-chu
Character yake 2meiona hata kwenye Gye-baek na king's dream
Nyingine alizocheza ni ile WARRIOR BAEK DONG SOO, na King and I
Kuna huyu mzee
Tulimuona kwenye WARRIOR BAEK DONG SOO yule mzee aliyekuwa mzembe mzembe aliyekatwaga mkono na sword saint akaja kujilipua mwishoni
Kuna huyu demu
Ndo yule soo yeon kwenye IRIS 2 na goblin pia kacheza