Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aisee, vp likazuka upya au
ndipo wakajitokeza wanaharakati kama dae joyoung kupigania uhuru wa goguryeo dhidi ya taifa la wachina la TANG na baada ya miaka 30 ndipo likaanzishwa taifa la Balhae kama ni warithi wa kwanza wa goguryeo
 
Vp mkuu ni nzuri sana?
Yah nzuri sana mkuu ukiipata iangalie ile kitu wapenzi wa Mistuni hii ndio kiboko.Nadhan baada ya jumong na mwendelezo wake ndiyo ilifuata hii kwa action za kutosha na akili nyingi.

Sent using Iphone 7+
 
Poa mkuu ngoja nitaitafuta, kijijini ndio zangu
 
ndipo wakajitokeza wanaharakati kama dae joyoung kupigania uhuru wa goguryeo dhidi ya taifa la wachina la TANG na baada ya miaka 30 ndipo likaanzishwa taifa la Balhae kama ni warithi wa kwanza wa goguryeo
Hiyo series ya hao wanaharakati ni ipi
 
Nimeangalia you tube nimegundua kuwa kuna washiriki wengi mno walio act kwenye king gwangaaeto
 
Yule Baba Yake Jumong Alomlea akuwa Mfalme?
 
Unakumbuka hadi miaka uko vizuri mkuu.Sema wenzetu wako makini sana wanajaribu kuendana na ukweli na uhalisia ndio maana series za vile now zimepungua hawataki kuludia story nadhani hii ndio sababu wanazidi kuuza zaidi.

Lile taifa la jumong si ndio korea
 
Unakumbuka hadi miaka uko vizuri mkuu.Sema wenzetu wako makini sana wanajaribu kuendana na ukweli na uhalisia ndio maana series za vile now zimepungua hawataki kuludia story nadhani hii ndio sababu wanazidi kuuza zaidi.

Sent using Iphone 7+
Kuna Hii Drama Nayoangalia Now Ya Rebel, Inasemekana Ni Drama Ambayo Imeuza Sana Sana kwa Huu Mwaka Kwa Kipindi Kile Inaonyeshwa...

Mi Ndomana Kila Siku Nasema Tanzania Tungejaribu kukopi Izi Kazi Nasi Tungekuwa Mbali Sana Yaani, Wanainvest Sana Kwenye Hizi Kazi Awa Watu Yaani Mi Nimewatamani Mpka Naamua Kuenda Nao Tuuh Maana Amna Jinsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…