Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna Hii Drama Nayoangalia Now Ya Rebel, Inasemekana Ni Drama Ambayo Imeuza Sana Sana kwa Huu Mwaka Kwa Kipindi Kile Inaonyeshwa...

Mi Ndomana Kila Siku Nasema Tanzania Tungejaribu kukopi Izi Kazi Nasi Tungekuwa Mbali Sana Yaani, Wanainvest Sana Kwenye Hizi Kazi Awa Watu Yaani Mi Nimewatamani Mpka Naamua Kuenda Nao Tuuh Maana Amna Jinsi
Rebel tamu sana sterling ndo yule aliyeact cruel romance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rebel tamu sana sterling ndo yule aliyeact cruel romance

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa nimecheka sana ndo nimeanza kuangalia Rebel sasa nikawa najiuliza huyu mzee aliyecheza kama baba yake Gil Dong mbona sura yake sio ngeni, najaribu kukumbuka kumbukumbu haziji vizuri hadi nikaamua kugugo eti nakuta kumbe ndo yule aliyecheza City hunter daah wakorea nyoko sana...utamjua sasa kwamba ndo yule

Mi Mwenyewe sikumjua Ila na dogo langu Moja Hivi naangalia Nae ndo akanishtua Kuwa ni Baba Mlezi Wa Bae wako kwenye city Hunter
 
Mi Mwenyewe sikumjua Ila na dogo langu Moja Hivi naangalia Nae ndo akanishtua Kuwa ni Baba Mlezi Wa Bae wako kwenye city Hunter
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh huyo mdogo wako ana macho makali au kwa vile Ba mkwe[emoji13] [emoji13] mi mwenyewe ba mkwe wangu ila sikumtambua aisee si natafuta talaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom