makala7
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 497
- 407
Umeiona the three muskets?Unachanganya cruel romance wameigiza wachina
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeiona the three muskets?Unachanganya cruel romance wameigiza wachina
Mkuu hii DAE JO YEONG naitafuta kinyama yaaanitakuwa umekusudia king dae jo young drama ambayo inazungumzia kuangushwa kwa utawala wa goguryeo taifa lililoanzishwa na mfalme jumong na harakati za kuanzishwa kwa taifa la Balhae na dae joyoung
moja kati ya drama bora nilizowahi kuangalia, heshima kwake ahjussi choi soo jong
![]()
Haya jamaa wako serious kwenye kazi zaonilianza kuangalia six flying dragons ya mwaka 2015 ndipo baadae nikaiangalia JEONG DO JEON ya mwaka 2014. kwangu mimi jeong do jeon(sambong) itabaki kuwa ni drama bora kuliko six flyng dragons na cha kufurahisha zote zina episode 50 ila jeong do jeon stori yake ni ya ukweli zaidi kuliko six flyng dragons.
tree with deep roots nayo ipo vizuri sana na heshima kwake jang hyuk ila kama utaiangalia king sejong hutakuwa na hamu sana ya kuangalia tree with deep roots
jang yeong sil niseme tu heshima kwake song il kook kwa performance yake laiti kama Tanzania tungelikuwa na watu wenye maarifa kama jang yeong sil basi taifa hili lingelikuwa mbele sana kwenye sekta ya sayansi na technolojia
Wanasema haipatikani kwenye tovuti yoyote ile, Ila you tube ipoMkuu hii DAE JO YEONG naitafuta kinyama yaaan
Nilishia EPISODE ya 20
VP unayo
uliipata wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha,Ukiacha Ukorfi tutaendaNgoja aje atuanzishie program ya kutufundisha hiyo lugha maana nina mpango wa kwenda na ww korea
YouTube ni baadhi 2 ya episodeWanasema haipatikani kwenye tovuti yoyote ile, Ila you tube ipo
Sasa mkuu tutaipata wapi mi mwenyewe naitafuta yaani
Acha ligi huku huoni ata mm huku sileti zile habari zetuHahahahaha,Ukiacha Ukorfi tutaenda
We Unashida, Habari Gani Tulizonazo Mimi Na Wewe?Acha ligi huku huoni ata mm huku sileti zile habari zetu
Njooo ilemela UtazikutaSasa mkuu tutaipata wapi mi mwenyewe naitafuta yaani
Hahahahaaaa masuala ya kwenda kwenye profile yangu hayoNjooo ilemela Utazikuta
Yaishe basiWe Unashida, Habari Gani Tulizonazo Mimi Na Wewe?
Hahahahahaha,We Ulienda kwenye profile ya Nani?Hahahahaaaa masuala ya kwenda kwenye profile yangu hayo
Waooooooo,! Ndicho Nilichokuwa Nasubiria...Yaishe basi
Ila kule sito sema hivyoWaooooooo,! Ndicho Nilichokuwa Nasubiria...
YakoHahahahahaha,We Ulienda kwenye profile ya Nani?
Naheshimu sana huu uzi ndio maana nimesema hivyoWaooooooo,! Ndicho Nilichokuwa Nasubiria...
Ha ha haaaaa....itafute ni nzuri sana....main character ni Yule jamaa aliocheza kwny slave hunter kwa jina la dae gilBado mmoja ili wafike watano alafu niifuatilie, mi kuna mmoja aliniambia huku kuwa ni nzuri ngoja nimsubili huyo mmoja